Nape amnadi mgombea wa CCM Songea mjini, apeleka msiba CHADEMA, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape amnadi mgombea wa CCM Songea mjini, apeleka msiba CHADEMA,

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by hugochavez, Jan 7, 2018.

 1. hugochavez

  hugochavez JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2018
  Joined: Mar 1, 2013
  Messages: 1,697
  Likes Received: 415
  Trophy Points: 180
  Mbunge Wa mtama Nape Nnauye Leo hii katika viwanja vya sokoni kata ya Bombambili mjini Songea amemnadi mgombea ubunge Wa jimbo hilo kupitia CCM Dr Damas Ndumbaro huku akivuna wanachama 80 kutoka CHADEMA akiwemo aliyekuwa Diwani Wa kata ya Shule ya Tanga bwana Mussa pamoja na aliyekuwa mwenyekiti Wa kata hiyo kupitia CHADEMA. Nape amesema kuwa hivi karibuni Nchi itatikisika kwani yupo kada mkubwa Wa CHADEMA atahamia CCM. Pia ameeleza kuwa yeye Nape hahami CCM na atafia ndani ya chama hicho pendwa nchini.
   
 2. G

  G4rpolitics JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2018
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 2,172
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  Kutohama kwako poa, ila punguza kuchanganya maneno saa zingine hatujui msimamo wako uko upande gani..
   
 3. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2018
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 9,967
  Likes Received: 10,110
  Trophy Points: 280
  Ili nchi izizime labda ahame Tundu Lisu na sio Mbowe, Lowassa, Mnyika, Msigwa nk. Huko cdm ninayemuamini ni Tundu Lissu tu, hao wengine hata wakihama leo sintoshangaa.
   
 4. t

  tajirijasiri JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2018
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 2,694
  Likes Received: 3,041
  Trophy Points: 280
  Kuhama chama ni haki ya kikatiba ya raia wa Tz. Tatizo ni kwenu ccm mnaodhani kuhamia chama kingine ni uadui.
   
 5. B

  Bayyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2018
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,108
  Likes Received: 910
  Trophy Points: 280
  wazungusha mikono hawataki kusikia hbr km hiyo..
   
 6. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2018
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 670
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Huyo hana tofauti na used condom au pampers. Wenzie wamesha mtupilia mbali lakini bado haamini.Juzi juzi alikuwa anaponda hayo hayo leo anashangilia eti kada mkubwa atahamia toka CHADEMA
   
 7. chilamanyika

  chilamanyika Senior Member

  #7
  Jan 7, 2018
  Joined: Nov 20, 2016
  Messages: 103
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Huyo kada mkubwa atakua EL hapo ndo mtajua.... Kumbe CDM ni genge la wahuni tu!
   
 8. gemmanuel265

  gemmanuel265 JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2018
  Joined: Feb 16, 2016
  Messages: 3,731
  Likes Received: 5,935
  Trophy Points: 280
  Aliwapinga kwa pesa wakati wa kampeni 2015.
  Aliwanunua kwa pesa kuwatoa ndani ya bunge kupitia upinzani.
  Anawarejesha kwa pesa ndani ya bunge kupitia ccm.

  Halafu kuna mjinga mmoja anasema hii serikali inapambana na rushwa?!
   
 9. nkuwi

  nkuwi JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2018
  Joined: Feb 11, 2013
  Messages: 2,455
  Likes Received: 1,776
  Trophy Points: 280
  Huyo mussa ndomba anahama Mara ngapi?? Si alishahama toka mwaka Jana na uchaguzi ulishafanyika baada ya yy kununuliwa/kuhama???


  Huyo nape asubiri aje akatwe mkia tu ndio atamjua huyu Mr faru Janeth
   
 10. nygax

  nygax JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2018
  Joined: Jun 4, 2017
  Messages: 1,057
  Likes Received: 548
  Trophy Points: 280
  kwani wanasema nape ni wao?
   
 11. kipara kipya

  kipara kipya JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2018
  Joined: May 2, 2016
  Messages: 3,586
  Likes Received: 3,020
  Trophy Points: 280
  nina hakika lissu pia huwezi kushangaa!
   
 12. heradius12

  heradius12 JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2018
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 6,857
  Likes Received: 8,554
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 13. Sky Eclat

  Sky Eclat JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2018
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 19,715
  Likes Received: 48,176
  Trophy Points: 280
  CHADEMA ni chama na si binadamu mmoja . Endeleeni kujitekenya wenyewe.
   
 14. G

  GalileiGalileo Member

  #14
  Jan 8, 2018
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 25
  Nepiiiii! You need to do more than this to get yourself on track! Good move anyway!
   
 15. Magonjwa Mtambuka

  Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2018
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 9,270
  Likes Received: 4,632
  Trophy Points: 280
  Makamanda sasa matumbo moto. Hawajui nani ni nani.
   
 16. Mathias Raymond Nyakapala

  Mathias Raymond Nyakapala JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2018
  Joined: Mar 1, 2017
  Messages: 1,317
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 280
  Msiba gani uliopelekwa Chadema?
   
Loading...