Uvamizi wa Clouds: Nape amjia juu Makonda

Kisheria Nape hakuwa na mamlaka ya kuunda kikamati fake kile. Ilibidi aende kuongea na RC Makonda moja kwa moja. Kutaka sifa kulimmaliza.
Wakitoa hiyo wataambiwa watoe ya katikati wakishaitoa hiyo wataambiwa watoe na ya pembeni. Mimi ninasema I enjoyed the interview because it proved something I have always been asking myself ie the iq of the person in the name of bullshit.And let me alert you if you want to be ignored by everybody including the demons be closer or be related to that person. Hata shetani atakudharau. Asichojua ni kwamba Mungu wa mbinguni hadhihakiwi. Na ma tatizo aliyo nayo yanatibika akiamua. Yesu hawezi kutamkwa mdomoni wakato hayuko rohoni. Dogo Mruhusu roho mtakatifu afanye kazi ndani mwako and you will be healed.
 
Ameshindwa kufanya tukio la dk 1 tu la kuzama ndani na kumuonesha Mwandishi cheti chake cha FIV kama si uoga nini
Hebu wewe weka hapa cheti chako hata cha kuzaliwa tu tuuone ujasiri wako
 
Makonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!
Tulia mkuu ujenge hoja ya maana kama umeamua kumtetea BASHITE, mbona unapayuka hovyo?? Kujificha nyuma ya ID fake sio tatizo, kinachotakiwa ujumbe ufike nao ndio utakaopelekea ukombozi kupatikana, hujawahi kwenda vitani ila japo movies unaangalia!
Ulishawahi ona askari anafyatua risasi kwa adui kisha akatunisha kifua kukinga risasi ya adui?? Askari pia hujificha ili asionekane na adui kusudi aweze kumdungua vizuri...
 
Nape ndo lala salama hiyo unapewa nafasi unashindwa kuimudu unaishi a kulaumu watu
 
Kuna ukweli kwamba siku akitokea RAIS akasema nchi hii sio yetu tuhame kuna watu watasupport.
 
Makonda jasiri, anajiamini, si muoga, si muongo, si mzushi, si mnafiki, si mzandiki kama wengi wetu hapa, ma cowards, tunasema huku tumejificha katika id feki tukimuacha Mexons akitaabika na kuhangaika na familia yake sisi tukifurahia kuzusha, kuzitekenya nafsi zetu na kucheka. Wengine ni wanafiki kupindukia, maisha yetu tunamtegemea Makonda, tukibadilidha vi ID tunajifanya tunajua kuchonga. Kama sisi si waoga, kama sisi si wanafiki, kama sisi si wazushi na tuko tayari 'kuikomboa' nchi kama tunavyodai kwa nini tunajificha? Nchi haikombolewi na wanaojificha, bali wanaokwenda front. Hakuna nini wala nini, hatujielewi na ni maneno matupu tu. Makonda shujaa, anatenda yanaonekana na anasema na kuwataja pasipo kupepesa macho. Aibu kwetu, aibu cowards!
MKUU MZAZI KAMA ANASAPOTI UJAMBAZI WA MWANAE USITEGEME WOGA HAPO NA TUSIDANGANYANE ETI SI MWOGA.HATA UONGO WA MTOTO UNAHALALISHWA.
 
Nape , ccm ni mama yako ? Kinana kaondoka wewe unasubiri nini , au mpaka urogwe ?

Piga goti ,Waombe radhi watanzania , watakusamehe tu .
 
Makonda amecheza kete yake vizuri jana.
Nape ni bora angekaa kimya tu,vinginevyo ni kama anamjibu Rais aliemfukuza kazi.
Nape anapaswa kukubali kuwa kuna maisha baada ya uwaziri,Kina Muhongo walitemwa lakini walirudi kutokana na kukaa kwao kimya japo walijua wameonewa
Nadhani Nape yupo sahihi sana huwezi kuusaliti utu wako au ukweli eti ili upewe cheo ndio maana hatuendelei ni kwasababu ya unafiki huu. Bora uwe mkweli ukose cheo kulikoni kuwa mnafiki ili upate cheo
 
Mpaka sasa hakuna taarifa rasmi zilizotolewa ktk Mamlaka za kisheria juu ya uvamizi wa kituo chochote cha utangazaji, iwe ni kituo cha habari "serious" au kituo cha habari za udaku udaku.

Huwezi kuunda Kamati za hovyo hovyo zenye watu wa hovyo hovyo, kuchunguza maigizo kwa kuwa tu unatumika na kikundi fulani cha watu chenye nia ya kukwamisha ukomeshaji wa mambo maovu.
 
kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom