NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,032
- 4,028
Kumbe ukiwa uwanjani unacheza mpira huwezi ona makosa au kutoa comment ya ukosoaji ila ukiwa nje ya uwanja wewe ukiwa huchezi unaona makosa mengi na kukosoa kunakuwa kwingi
Umeandika nini sasa?Kumbe ukiwa uwanjani unacheza mpira huwezi ona makosa au kutoa comment ya ukosoaji ila ukiwa nje ya uwanja wewe ukiwa huchezi unaona makosa mengi na kukosoa kunakuwa kwingi
Mkuu, kwani unakimbizwa?...Kumbe ukiwa uwanjani unacheza mpira huwezi ona makosa au kutoa comment ya ukosoaji ila ukiwa nje ya uwanja wewe ukiwa huchezi unaona makosa mengi na kukosoa kunakuwa kwingi
Kwani Nape amewahi kuchezea timu gani?Kumbe ukiwa uwanjani unacheza mpira huwezi ona makosa au kutoa comment ya ukosoaji ila ukiwa nje ya uwanja wewe ukiwa huchezi unaona makosa mengi na kukosoa kunakuwa kwingi
FC LumumbaKwani Nape amewahi kuchezea timu gani?