Nape akosoa magazeti yalivyofungiwa

NostradamusEstrademe

JF-Expert Member
Jul 1, 2017
3,032
4,028
Kumbe ukiwa uwanjani unacheza mpira huwezi ona makosa au kutoa comment ya ukosoaji ila ukiwa nje ya uwanja wewe ukiwa huchezi unaona makosa mengi na kukosoa kunakuwa kwingi
 
Umeandika nini sasa?
 
Kumbe ukiwa uwanjani unacheza mpira huwezi ona makosa au kutoa comment ya ukosoaji ila ukiwa nje ya uwanja wewe ukiwa huchezi unaona makosa mengi na kukosoa kunakuwa kwingi
Kwani Nape amewahi kuchezea timu gani?
 
Ndo tatzo la kuandika uzi ukiwa na mchecheto, unachofikiria ni kupost tu sio unachoandika
 
Back
Top Bottom