Nape acharuka uhamishaji wa kiwanda cha tumbaku Songea

Msishangae, hakushirikishwa ndio maana analalamika. Jambo la maana hapa ni Dr. Slaa kuwahi Ruvuma kukusanya kadi za CCM!
 
Kiwanda cha tumbaku songea Mmekiua nyie CCM na Sera zenu za ubinafsishaji. Hiki kiwanda cha Tumbaku moro kipo tangu miaka ya sabini, tena kilikuwa kinamilikiwa na selikali yako chini ya Bodi ya tumbaku Tanzania (TTB), nacho mmekiuza. Hamkuishia hapo tu mmepanga njama za kukiua kiwanda cha Songea ili tumbaku ya songea na ile ya tabora iwe inaletwa Morogoro. Leo hii unawazuga watu wa Ruvuma eti kiwanda kimehamishwa!. Acha udanganyifu we Nape!. Kwani serekali ikifufua hicho kiwanda cha Songea na hiki cha morogoro mlichowauzia wazungu kikiwepo kunatatizo gani hapo?. Au kwa nini hivi viwanda vya kuchambua na kusindika Tumbaku visijengwe Songea na Tabora kunapolimwa Tumbaku?. Mnakazania viwepo morogoro ili malori yenu yapate tenda ya kubeba tumbaku?.
 
Kiwanda cha tumbaku songea Mmekiua nyie CCM na Sera zenu za ubinafsishaji. Hiki kiwanda cha Tumbaku moro kipo tangu miaka ya sabini, tena kilikuwa kinamilikiwa na selikali yako chini ya Bodi ya tumbaku Tanzania (TTB), nacho mmekiuza. Hamkuishia hapo tu mmepanga njama za kukiua kiwanda cha Songea ili tumbaku ya songea na ile ya tabora iwe inaletwa Morogoro. Leo hii unawazuga watu wa Ruvuma eti kiwanda kimehamishwa!. Acha udanganyifu we Nape!. Kwani serekali ikifufua hicho kiwanda cha Songea na hiki cha morogoro mlichowauzia wazungu kikiwepo kunatatizo gani hapo?. Au kwa nini hivi viwanda vya kuchambua na kusindika Tumbaku visijengwe Songea na Tabora kunapolimwa Tumbaku?. Mnakazania viwepo morogoro ili malori yenu yapate tenda ya kubeba tumbaku?.

Ndugu yangu umemaliza kila Kitu huu ndo ukweli.
 
Hatimaye nape nnauye ajipandisha cheo na kuwa waziri asiyekuwa na wizara maalum



hamjui kuwa CCM ni chama kilichoshika hatamu! kina NGUVU KULIKO SERIKALI! ila anachfanya ni sawa unajua chama kina nguvu kuliko serikali yake maana kikiamua kuwafukuza uanachama wana "wao m" walioko srikalini basi wanapoteza hata hizo nafasi! ila tu NDIO MAANA RAIS HUWA ANAAMUBA TENA KUWA MWENTEKITI LAKINI KATIBA IMTENGANISHA RAISI NA MWENYEKITI UWAJIBIKAJI UTAkuwa mkubwa na chairman anaweza kumita rais awaeleze ni kwa nni hatekelezi ilani ya chama maana hiyo ndio mkataba wa serikali chama chao na wananchi. Kwa hiyo NAPE YUKO SAHIHI ILA KWA SABABU TU TUMESAHAUlishwa na madaraka makubwa ya raisi!
 
Nnauye Jr,
Tunataka na chama chako kirudishe viwanja na ofisi zetu zilizogeuzwa Ofisi za Kulaza magari huku pesa inayopatikana inaingia kwenye mfuko wa CCM.
 
leo Nape yupo hapo kwenye viwanja vya Zimanimoto kuhutubia wanavijiji waliosombwa na magari ya Mfanyabiashara maarufu kama KISUMAPAI ndugu zanguni! Wana ccm kila wapitapo hapa mjini Songea wanazomewa! Aibu tupu! hawana chao tena hapa Songea mjini hata wakirudisha umeme!!
 
Nina swali moja TU au mawili, iliyoamisha kiwanda ni serikali au ni mtu binafsi? Kiliamishwa ghafla usiku mmoja au ni mipango iliyoratibiwa na serikali ya CCM? au je kiliamishwa kiuchawi? Kama ni kwa mipango iliyoratibiwa na serikali ya CCM ambayo Nape ni kiongozi mkuu wa chama hicho ilikuwaje akanyamaza mpaka hao wachache wakatimiza hazima yao hiyo mbaya eti yeye anasubiri mpaka afanye ziara ndo aweze kutoa malalamiko yasiyo na msingi wala maana yoyote. Haya ndo mambo yanayomfanya Nape aonekane kituko ndani na nje ya chama chake cha CCM, amka Nape vinginevyo utaizika CCM yako kwa uzubaifu wako. Alwayas late on issues!!!

Na Stephano Mango, Songea
KATIBU wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ameitaka Serikali kurudisha Kiwanda cha kusindika tumbaku cha Songea Tobacco Processing Industry(SanTop) ambacho kimepelekwa mkoani Morogoro na kuwaacha wakazi wa Ruvuma wakilalamika kutokana na msaada mkubwa uliokuwepo wakati kiwanda hicho kikifanya kazi Songea
Wito huo ameutoa jana wakati akizungumza na mamia ya wananchi,wanachama na viongozi wa Chama cha Mapinduzi (Ccm) waliokusanyika kumpokea Kata ya Shule ya Tanga Wilayani Songea mkoani Ruvuma ambako yupo katika ziara ya siku mbili
Nnauye alisema kuwa kiwanda hicho kilijengwa miaka mingi iliyopita na kiliwezesha kutoa ajira za muda mfupi na mrefu kwa wakazi wa mkoani humo na kusababisha kuwepo kwa mzunguko mkubwa wa fedha na kukua kwa uchumi wa Ruvuma na wananchi wake.
Alisema kuwa wakulima wa zao hilo kwa muda wote huo walikuwa wakijivunia kuwepo kwa kiwanda hicho, hali iliyowafanya kuongeza juhudi katika uzalishaji wa tumbaku na kujipatia maisha bora kutokana na shughuli yao ya kilimo
“ Inasikitisha kusikia wajanja wachache kwa kushirikiana na wawekezaji, bila aibu waliamua kukihamisha kiwanda hicho na kupeleka Morogoro, ambapo hakuna hata mche mmoja wa tumbaku unaozalishwa huko,” alisema Nnauye
Alisema tangu kiwanda hicho kilipohamishwa kutoka mjini humo, uchumi wa mkoa na watu wake umeshuka na kusababisha mateso makali kwa wananchi kutokana na kunyang’anywa fursa yao ya kujipatia kipato na kupelekea majengo ya kiwanda hicho kuwa mahame ambayo popo wanajihifadhi na wadudu wengine katika umasikini
Aliwataka viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma kushirikiana kikamilifu na Serikali ili kuweza kukirudisha haraka iwezekanavyo kiwanda hicho ambacho kilikuwa msaada mkubwa kwa wananchi wa mkoa wa Ruvuma
Katibu huyo ameanza ziara ya siku mbili mkoani Ruvuma ambako atafanya mikutano ya hadhara na wananchi, vikao vya ndani,kufungua mashina na matawi ya chama hicho pamoja na kuweka mawe ya msingi miradi mbalimbali ya chama
MWISHO
 
Kesi ya nyani unampelekea ngedere haaaa Nape anaigiza hapo anawaingiza mkenge wakazi wa songea kwani hilo la kuamishwa kwa kiwanda ndio anajua jana?

Huyu vuvuzela anataka kutuaminisha kuwa yeye anauchungu wa watu wa Songea kuliko mbunge wao NCHIMBI? Yaani mbunge mpaka sasa hajui sababu za kiwanda kuhamishiwa Morogoro?
 
Huyu napa ndiyo maana hajapata watu kwenye mkutano zaidi ya wale wanakijiji walioletwa toka vijijini wakiwazuga kwa wali na soda, hicho kiwanda kiliamishwa lini na yeye anakisemea leo unatudaganya kama kweli mna machungu anzane kurudisha majimaji std majimaji hotel na yale mashamba liganga zamani yalikuwa ya melali. nape wewe kula hela ya ccm utembee Mwambie Kite akupeleke club leo ukapoint totoz.
 
ALIOKOTA MACHANGU DOA AKAWAPA VITENGE NA KOFIA AONEKANA KAVUNA WANACHAMA CHADEMA HAIVUNI MTU AMBAE KASHAVAA GWANDA HUO NI MPANGO MFU WA NAPE:lock1:
 
Back
Top Bottom