Nape Aanza kazi mpya ya umwagiliaji makaburi, Mungu awalinde wote waliotutangulia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Aanza kazi mpya ya umwagiliaji makaburi, Mungu awalinde wote waliotutangulia

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kachanchabuseta, Apr 2, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. E

  Ezjohne Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmmmmmh hii kali:nono::nono::nono:
   
 3. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 545
  Trophy Points: 280
  jamani hii ni qeli kama qeli basi ni hatari. Nimeichukia
   
 4. H

  Honey K JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yatasemwa mengi....semeni mkishachoka maisha yanaendelea
   
 5. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yaelekea hili NAPE ulilisahau mwanzoni.
   
 6. Sabayi

  Sabayi JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Pole sana kada,sidhani kama watu wanachuki binafsi na wewe ila wanachuki kubwa sana na huo mzoga ccm
   
 7. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  naona upo on line changia thread zote
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  wamekuning'iniza kama popo
   
 9. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  kwa sababu wewe sio mstaarabú ndo maana tunakuandama hivi,ýako wapi majigambo yako kwamba ccm imeshinda arumeru imesubiri kutangazwa.Safari ùtaikumbuka ccj
   
 10. t

  tz_mpya New Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata biblia inasema msifanye migumu mioyo yenu!hamia airtel kada u know where to flock
   
 11. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dah! Hii ni kali wakuu.Jamaa kakumbuka wakubwa zake baada ya kufall apart huko arumeru!.Magambaaaaaaa!!
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu angalia usiwe kama Mheshimiwa Lusinde
   
 13. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Hii picha ya muda mrefu, nilishaiona hapa hapa Jamii forums
   
 14. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Naona wamekuchokonoa huko ulipokuwa umejificha mpaka wamefaulu kukutoa.. Sasa inabidi utoke mzima mzima uje hapa kupambana na hoja zinazotolewa. Usiogope wewe ni mtoto wa kiume madhubuti. Kama ulikuwa na uthubutu wa kupambana na Lowassa kwenye majukwaa hadharani then ninaamini still you have those steel balls za kupambana na hizi hoja hapa JF.

  Go Nape go Nape go.. Unasubiriwa usiogope. Kama ingekuwa macho kwa uso ndio ulitakiwa uogope maana naamini usingeweza kupambana ila kwa keyboard, c'mon Nape, you can do this.
   
 15. M

  Mazindu Msambule JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 4,320
  Likes Received: 1,495
  Trophy Points: 280
  Kaka Jr, nasikia na wewe ni mcha Mungu, please hebu niambie, kile ambacho huwa unasema kwa kupayuka sana na msisitizo, huwa kinatoka moyoni mwako au mdomoni tu? Nina maana, kile unchokiongeaga, we mwenyewe huwa unakiamini?

  Sisi wengine tuna amini hivi, kupenda ccm ni lazima uwe unakili za maiti!
  majibu tafadhari.
   
 16. N

  Njaare JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu upo?

  Nendeni mkapate somo la jinsi ya kufanya kampeni toka kwa mzee Malechela.
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  bora ufanye kazi hiyo halali mbele ya Mungu kuliko kufanya kazi za kifisadi huko ccm, teh teh teh
   
 18. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hongereni watani (Chadema) kwa ushindi Arumeru Mashariki. Ninawapongeza mmeshinda! Ndio kauli ya wana Arumeru Mashariki nasi tunaiheshimu! Fanyeni kazi kutimiza mliyowaahidi wapiga kura. Kila lakheri!! 531930_381910065163746_100000342668655_1284574_390694123_n.jpg

  pongezi hizo umezitoa kwenye wall yako kwenye facebook naomba uzitoe na hapa JF
   
 19. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nape jamaa yako mwigulu kehafdar?
  baada ya kuwapa ulaji machalii amekimbia usiku wa manane.
   
 20. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,833
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Halafu kwa domo kaya lake aliwahi kusema eti wana uhakika Lema atashindwa rufaa waliyokata halafu chaguzi ndogo watashinda kwa kishindo, walivyoliita mahakamani lidhibitishe kauli hiyo likajifanya linaumwa,.
   
Loading...