Napatwa na matatizo mwawili, msaada wa kimawazo kabla sijachukua hatuanzaidi.


kancher

kancher

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
387
Points
500
kancher

kancher

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
387 500
Husika na kichwa na habari hapo juu.

Mimi ni kijana 26 yrs, Mwenye afya nzuri tangu nikiwa mdogo sijawahi kusumbuliwa na matatizo makubwa ya kiafya.

Lakini tangu miaka miwili nyuma nimeanza kuona napatwa na shida katika mfumo wa upumuaji, yani naweza kukaa sekunde 4 hadi 5, bila kuvuta wala kutoa pumzi ghafla nastuka na kuanza kupumua kwa haraka huku mapigo ya moyo yakienda kasi.
Na wakati mwingine kifua kubana.

Tatizo la pili kipindi cha baridi nikioga maji ya baridi ata ya moto korodani zinasinya na kikaza na kutoa maumivu maumivu yanayopanda hadi kwenye tumbo la chini.

Je hizi zinakuwa ni dalili za matatizo gani kiafya?
 
Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Messages
1,154
Points
2,000
Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2017
1,154 2,000
Nenda hospital mdogo wangu
 

Forum statistics

Threads 1,295,910
Members 498,475
Posts 31,227,777
Top