Napataje Lori la mizigo la kuhamisha vitu vyangu vya ndani?

MissM4C

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,740
1,004
Nina mizigo yangu Dar (vitu vya ndani) nahitaji kuhama navyokwenda Mwanza, ni vingi kidogo na sitaki kuuza, ambaye anajua namba za simu ama wapi nitapata Lori la kunibebea msaaada pls!
 
Nenda pale Ubungo Stand sheli kwenye banda la Princes Muro huwa wanatuma mizigo kama hiyo yako
 
Mmmh! Watafute wale jamaa wanaoendesha magari ya mwanza huduma, huwa wana trip kibao za Dar to Mwanza.

Kama avatar yako ndo ulivyo, basi I guarantee mzigo utafika mwanza buuure.
 
Muuulize dereva wa lori mkuu wa v-wonder country kwani yeye ndiye dereva wa lori.
 
Tafuta company moja iko mwanza inaitwa musa's transport ..huwa inasafirisha mizigo mikubwa katika scania na fuso from dar to mwz ..or tafuta kampuni salum transport or any transport company
 
Hivi yale ma lori ya pale jangwani bado yanapaki pale manake ilikua rahisi sana kuyapata pale
 
Nilifikiri unaelekea Makao Makuu ya Serikali Katika zoezi la kuhamisha Wizara
 
mkuu alisema atakae baki mjini mpka july ni mwanaume......sijajua unahitaji lorry la size gani...kama fuso litatosha wa jaribu hawa 0787254220, au fika pale jangwani, imgawa wengi ni madalali na wanabeinza kihuni..
 
Nina mizigo yangu Dar (vitu vya ndani) nahitaji kuhama navyokwenda Mwanza, ni vingi kidogo na sitaki kuuza, ambaye anajua namba za simu ama wapi nitapata Lori la kunibebea msaaada pls!

Vipi vi ' Kirikuu ' huvitaki Mkuu?
 
mkuu alisema atakae baki mjini mpka july ni mwanaume......sijajua unahitaji lorry la size gani...kama fuso litatosha wa jaribu hawa 0787254220, au fika pale jangwani, imgawa wengi ni madalali na wanabeinza kihuni..
Thank u
 
Wako online?
 
Nina mizigo yangu Dar (vitu vya ndani) nahitaji kuhama navyokwenda Mwanza, ni vingi kidogo na sitaki kuuza, ambaye anajua namba za simu ama wapi nitapata Lori la kunibebea msaaada pls!
Nenda pale jangwani ukipita depo ya mwendo kasi utakuta maroli yanapakia mizigo kwa wingi
 
Nina mizigo yangu Dar (vitu vya ndani) nahitaji kuhama navyokwenda Mwanza, ni vingi kidogo na sitaki kuuza, ambaye anajua namba za simu ama wapi nitapata Lori la kunibebea msaaada pls!
Kama ukikwama ni pm nikupe mwongozo tafadhali
 
Back
Top Bottom