Napataje laini za Lipa kwa M-Pesa au Tigo Pesa?

Jaman mnao amisha pesa kutoka mtandao wa airtel money au halopesa kwenda lipa kwa Tigo kuweni makini leo mm nimeamisha 1,114,000/= kutoka airtel money kwenda lipa kwa tigo wamenikata 15,000/=.
Hata kulipa kutoka tigo kwenda lipa mpesa wanakata sawa sawa na kutoa pesa, tigo wana gharama sana.

Lakini kulipa kutoka airtel kwena mpesa gharama ni ndogo sana karibu sawa na mpesa to lipa mpesa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom