Napata wapi saa model hizi na kwa bei hii hapa Bongo

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Habari wakuu nataka saa model hiyo vje bongo wanauza wapi kwa bei ya range hizo, naogopa kuagiza aliexpress kutokana na kuchelewa kufika mzigo kwa sababu ya maradhi haya ya korona je kuna duka gani zinapatikana hapa bongo Dar?
fff.PNG
smartwatch_iwo_12_44mm_01_m.jpg
1f1c3cbfdf408dc2bbba9d728cf451a6ca11d481.jpg
1f1c3cbfdf408dc2bbba9d728cf451a6ca11d481.jpg
 
hapama mkuu kama ntaenda dukani basi najeti yangu haitazidi 80

Kabisa mkuu bei yake ndiyo hiyo me kuna jamaa kaniletea wiki mbili zimepita toka china! Ila juzi mtoto akaharibu button yake hapa ni ka umenikumbusha machungu ilikuwa inakaa siku nne ndo naichaji tena
 
napataje mkuu ?

najua kama ni clone mkuu ndio maana nkalia kwa bei hizo
Kwanini usinunue og ya Xiaomi ama Honor za Huawei? Bei inazidi kidogo hapo na unapata kitu cha uhakika.

Na kutegemea na matumizi ikiwa muonekano wa Band inakuwa nzuri kuliko Saa. Unapata fitness features nyingi hasa mazingira yetu haya ya kitapeli tapeli?

miband4VShonorband5-1024x576.jpg

Na band zinakaa na chaji wiki 2 mpaka mwezi.
 
vipi bongo zinapatikana mkuu kwa bei hiyo?
Ndo zimetoka huku huzipati, na mpaka zikifika huku bei watakupiga sana. Naziona Aliexpress dola 18 kama 40,000 hivi,

Sio mbaya ikiwa ndio kitu chako cha kwanza kuagizishia.
 
Ndo zimetoka huku huzipati, na mpaka zikifika huku bei watakupiga sana. Naziona Aliexpress dola 18 kama 40,000 hivi,

Sio mbaya ikiwa ndio kitu chako cha kwanza kuagizishia.
nop mkuu nimeanza kuagiza vitu nje tangu 2015 nina kauzefu kidogo, nachogopa mimi kwamba hii korona ntapata kweli mzigo wangu kwa wakati?
 
nop mkuu nimeanza kuagiza vitu nje tangu 2015 nina kauzefu kidogo, nachogopa mimi kwamba hii korona ntapata kweli mzigo wangu kwa wakati?
Mizigo imeanza kuja Mkuu, watu wanapata, unless kutokee janga jengine.
 
Kuna rafiki yangu alikuwa anauza 35,000 ntamcheki then nitakupa feedback
 
Back
Top Bottom