Yani kuna wadada wazuri jamani, yani wameumbika utadhani wamechorwa, yaani ukiwaona unafikiria mara mia mia yaani ukimpata sijui utamfanyafanyaje!!, nitamnyonganyonga, nitambinyabinya...., yaani, yaani..... Napata tabu mie, loh!!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.