Napata shida kuingia kwenye Yahoo yangu

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
1,125
732
Ndugu zangu,

Naomba msaada kwenye tuta. Toka jana Email yangu ya Yahoo hainipi ushirikiano, sijui kama na wenzangu mna hiyo shida.

Naomba mnisaidie kujua tatizo ni nini au nifanye nini.
 
Back
Top Bottom