kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,408
- 7,190
- Thread starter
- #21
Ni hela nyingi sana. Nchi yetu haijawahi kukodi huduma za aina hiyo. Nchi zenye viongozi madikteta wa kweli au tawala corrupt kama congo brazaville, drc, togo gabon, equatorial guenea ndio hua wanahitaji huduma hizo. Mara nyingi ni ili habari mbaya za kweli zigeuzwe nzuri. Sisi tumekua tunajitangaza wenyewe kwa uzuri wa nchi yetu. Kama mama ameanza kutumia huduma kama hizo sio sahihi. Kwanza hua wanatoza ghali kupindukia maana itahitajika kuhonga watu na wala hakuna uhakika wa matokeo mazuri maana wateja ni kweli wana sifa mbaya. Sisi hatujafika huko.Ndugu wanajamvi, nimefuatilia suala la serikali kukodi taasis ya Tony Blair, ni kweli serikali italipia jumal ya Billion 100 kama gharam ya kugharamia huduma ya kupata ushauri jinsi ya kupambana na UVICO pamoja na kuhakikisha anatusemea vizuri ngazi za kimatatifa.Je wewe unaona hizo gharama ni haki? value for money. Nashangaa vyombo vya habari nchini viko kimya havifanya utafit.