#COVID19 Napata shida kuelewa kwanini Rais Samia kamuajiri Tonny Blair kuhusu COVID-19 na kurejesha jina zuri Tanzania

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,590
2,000
Watanzania wengi ama hawasomi au kumbukumbu yao ndogo, huyu mtu aliyetuuzia Rada kwa Bei kubwa kisa kulinda ajira za raia wake 200 Leo tunamwona ni shujaa wakati kwao wamemwumbua juzi juzi kwa tuhuma za ufisadi
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,956
2,000
Ndugu wanajamvi, nimefuatilia suala la serikali kukodi taasis ya Tony Blair, ni kweli serikali italipia jumal ya Billion 100 kama gharam ya kugharamia huduma ya kupata ushauri jinsi ya kupambana na UVICO pamoja na kuhakikisha anatusemea vizuri ngazi za kimatatifa.Je wewe unaona hizo gharama ni haki? value for money. Nashangaa vyombo vya habari nchini viko kimya havifanya utafit.
Ni bora vyombo vya kabatini kuliko vyombo vya habari, sehemu pekee unapoweza kupata taarifa kama hizi ni JF pekee
 
SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
5,644
2,000
We are definitely doomed as a country.
Ndugu wanajamvi, nimefuatilia suala la serikali kukodi taasis ya Tony Blair, ni kweli serikali italipia jumal ya Billion 100 kama gharam ya kugharamia huduma ya kupata ushauri jinsi ya kupambana na UVICO pamoja na kuhakikisha anatusemea vizuri ngazi za kimatatifa.Je wewe unaona hizo gharama ni haki? value for money. Nashangaa vyombo vya habari nchini viko kimya havifanya utafit.
 
SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
5,644
2,000
Popote alipoenda Blair duniani, tokea astaafu, na kufanya deal na serikali za nchi husika, hakuna jema au zuri aliloacha.

Mkuu, mama kaingizwa chaka. Amin nakwambia.

Na huu uzi kuna siku utafukuliwa kama rejea(reference).

Wacha kumfananisha Rais SSH anayetawala professionally kwa consultation na yule mshamba alikuwa analipuka tu vile alivyoamka.

Kumbuka alivyoharibu biashara ya korosho kwa kujifanya mjuaji.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,569
2,000
Popote alipoenda Blair duniani, tokea astaafu, na kufanya deal na serikali za nchi husika, hakuna jema au zuri aliloacha.

Mkuu, mama kaingizwa chaka. Amin nakwambia.

Na huu uzi kuna siku utafukuliwa kama rejea(reference).
Tusiandikie mate. Orodhesha mabaya ya Tony Blair kwenye Nchi alizotoa ushauri
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,569
2,000
Alipotushauri tununue Rada kwa Bei kubwa kisa kulinda ajira 200 za watu wake mpaka waziri wake akajiuzulu, au ulikuwa hujazaliwa
Nilikuwa tayari nime graduate MBA wakati Tony Blair ni PM. Weka source hapa inayosema yeye ndiye alishauri
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,590
2,000
Nilikuwa tayari nime graduate MBA wakati Tony Blair ni PM. Weka source hapa inayosema yeye ndiye alishauri
Kama ulikuwa umegraduate na hii habari huijui Nina wasiwasi na elimu yako, huyo mama aliyekuwa waziri alikuja Hadi hapa, ndiyo ishu ya chenge ya mabilioni aliyoficha iliibuka.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,569
2,000
Kama ulikuwa umegraduate na hii habari huijui Nina wasiwasi na elimu yako, huyo mama aliyekuwa waziri alikuja Hadi hapa, ndiyo ishu ya chenge ya mabilioni aliyoficha iliibuka.
Don't underated my knowledge, nitakuacha uchi. Najuwa hiyo transaction kuliko wewe kwa majina

Baroness Linda Chalker nakumbuka vizuri alivyoibua ile scandal na mpaka hela zilivyorudishwa enzi za JK kwa ajili ya kutengeza vitabu vya elimu.

Najua kabisa players wakubwa akina Vithlani na Somaiya waliokuwa brokers wa ile transaction.

Najua vilevile kuwa muuzaji wa radar alikuwa BRITISH AEROSPACE.

Nataka uniambie ni wapi Tony Blair alihusika kutushauri tununue. Hilo tu
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,590
2,000
Don't underated my knowledge, nitakuacha uchi. Najuwa hiyo transaction kuliko wewe kwa majina

Baroness Linda Chalker nakumbuka vizuri alivyoibua ile scandal na mpaka hela zilivyorudishwa enzi za JK kwa ajili ya kutengeza vitabu vya elimu.

Najua kabisa players wakubwa akina Vithlani na Somaiya waliokuwa brokers wa ile transaction.

Najua vilevile kuwa muuzaji wa radar alikuwa BRITISH AEROSPACE.

Nataka uniambie ni wapi Tony Blair alihusika kutushauri tununue. Hilo tu
Unaweza kuniambia kwanini Linda alijiuzulu uwaziri, hivi unajua alipinga Tanzania kuuziwa Rada ndogo kwa Bei kubwa. Unajua utetezi wa Blair ulikuwa Nini? Alisema analinda ajira za watu 200 nchini mwake, Kama hakujali maslahi ya watanzania milioni 50 kwa ajili ya watu wake 200 Leo Ana huruma gani kwa watanzania. Ndio maana nasema elimu yako fake
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,569
2,000
Unaweza kuniambia kwanini Linda alijiuzulu uwaziri, hivi unajua alipinga Tanzania kuuziwa Rada ndogo kwa Bei kubwa. Unajua utetezi wa Blair ulikuwa Nini? Alisema analinda ajira za watu 200 nchini mwake, Kama hakujali maslahi ya watanzania milioni 50 kwa ajili ya watu wake 200 Leo Ana huruma gani kwa watanzania. Ndio maana nasema elimu yako fake
Nimesema nipe source ya hayo maneno, unaniambia elimu yangu Fake? Njoo na hoja siyo matusi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom