Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
Unafanyaje mkuu .kuna ndungu yangu kisukari kinanitesa sana ushauri bossSukari ukijulia mbona iko sawa tu
Unafanyaje mkuu .kuna ndungu yangu kisukari kinanitesa sana ushauri bossSukari ukijulia mbona iko sawa tu
Sukari hairithiwi kinacho rithiwa ni mfumo wa maisha ukifuata mfumo ambao alikua nao mgonjwa wa sukari hasa ulaji na unywaji huenda ikakufika hayo. Jitadhimini juu ya lifestyle na chukua hatuaDuh!mnaoniambia sukari mnanitisha ss,maana mzazi wangu mmoja sukari ilimuondoa
Unaweza kuwa na kisukari, nenda kacheki afya mkuu.Sijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo miaka ya nyuma na ata km ilikuwepo sio kwa kiwango cha hivi karibun. Ndani ya mwaka huu naona imezidi.
Mara nyingi hii hali inanitokea,naweza sema mara 4/5 kwa wiki.
Note:wala sitok jasho usiku kusema napoteza maji mwilini,hapana.Na pia ni mnywaji mzuri wa maji wakati wa mchana.
Mwenye kujua tafadhal kama ni tatizo na jinsi ya kulikabili.
Utakuwa na kisukariSijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo miaka ya nyuma na ata km ilikuwepo sio kwa kiwango cha hivi karibun. Ndani ya mwaka huu naona imezidi.
Mara nyingi hii hali inanitokea,naweza sema mara 4/5 kwa wiki.
Note:wala sitok jasho usiku kusema napoteza maji mwilini,hapana.Na pia ni mnywaji mzuri wa maji wakati wa mchana.
Mwenye kujua tafadhal kama ni tatizo na jinsi ya kulikabili.
Ukipata nafasi pima tena!Updates:nimepima sukari ipo vzuri tu wala haina tatizo.
Naunga mkono hoja ....with experience ya moja ya ndugu wangu wa karibu mno.....Ukipata nafasi pima tena!
Kisukari huja hivo, ni moja ya dalili
Updates:nimepima sukari ipo vzuri tu wala haina tatizo.
Shemeji una majibu magumu sanaFigo hizo...
Go for diabatesSijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo miaka ya nyuma na ata km ilikuwepo sio kwa kiwango cha hivi karibun. Ndani ya mwaka huu naona imezidi.
Mara nyingi hii hali inanitokea,naweza sema mara 4/5 kwa wiki.
Note:wala sitok jasho usiku kusema napoteza maji mwilini,hapana.Na pia ni mnywaji mzuri wa maji wakati wa mchana.
Mwenye kujua tafadhal kama ni tatizo na jinsi ya kulikabili.
Sasa hiyo note: ulikua una maanisha nini, kama hutoki jasho si ndiyo sababu pia ya kuwa na mkojo mwingi au uliwazaje, ukiwa sehemu za baridi unakojoa sana ukiwa sehemu za joto hukojoi sanaSijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo miaka ya nyuma na ata km ilikuwepo sio kwa kiwango cha hivi karibun. Ndani ya mwaka huu naona imezidi.
Mara nyingi hii hali inanitokea,naweza sema mara 4/5 kwa wiki.
Note:wala sitok jasho usiku kusema napoteza maji mwilini,hapana.Na pia ni mnywaji mzuri wa maji wakati wa mchana.
Mwenye kujua tafadhal kama ni tatizo na jinsi ya kulikabili.
Ukiacha dalali za kisukariSijaelewa ni kwa nini kila nikilala nitastuka kabla ya asubuh iwe mara moja,mbili au tatu nakuwa nasikia kiu ya maji sana.Yani ile kiu balaa kias siwez vumilia lazima ninywe maji ata funda moja.Mara nyingi haipiti masaa mawili baada ya kulala lazima niamke nikiwa nasikia kiu. Hali hii haikuwepo miaka ya nyuma na ata km ilikuwepo sio kwa kiwango cha hivi karibun. Ndani ya mwaka huu naona imezidi.
Mara nyingi hii hali inanitokea,naweza sema mara 4/5 kwa wiki.
Note:wala sitok jasho usiku kusema napoteza maji mwilini,hapana.Na pia ni mnywaji mzuri wa maji wakati wa mchana.
Mwenye kujua tafadhal kama ni tatizo na jinsi ya kulikabili.
Kabisa, afanye hivo ,mimi nna ndugu kazaa wana kadhia hio.Naunga mkono hoja ....with experience ya moja ya ndugu wangu wa karibu mno.....
asibweteke t kwamba ndo haipo .....awe anapima walau kila baada ya muda flan hasa pindi akiona hiyo hali imechanganya...