Napata maumivu ya kiuno

Joseph msai

Member
Aug 8, 2020
6
45
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21.

Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba.
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,640
2,000
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21...

Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba.
Kutwa nzima huwa unajishughulisha na kufanya kazi gani?au unakaa kutwa nzima pasipo na kufanya kazi yoyote ile? Unafanya kazi ngumu?
 
CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,009
2,000
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21...

Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba.
Una UTI nenda kapime
 
Mzimu wa Kolelo

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
1,517
2,000
Dalili moja wapo ya kirusi cha delta COVID 19 wimbi la tatu ni kuumwa na KIUNO

So km unaumwa kiuno na sio kawaida na hujawahi kuwa na matatizo ya kiuno au Umepima huna U.T.I basi habari ndio hiyo
 
souljar

JF-Expert Member
Feb 16, 2021
763
1,000
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21...

Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba.
Punguza punyeto kijana.
 
Kijana wa jana

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
11,837
2,000
Delta imekuja na dalili zake kama

Kuumwa kiuno ambacho huanzia kichwani kushuka na mgongo hadi kiunoni

Homa

Macho kuuma kwa mbali

Kutohisi harufu

Kukosa ladha ya chakula

Baridi na mengine mengi.

Tumia ule mchanganyiko wa nimricaf utapona au nenda hospital
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,640
2,000
Kazi ngumu au za kuinama nimezifanya kipindi cha nyuma kidogo make nilikua nikifyatua tofali za brock kwa mda.
Hayo ndio madhara unayapata sasa ulikuwa unajituma na kufanya kazi kupita kiasi ndio umepatwa na hayo maradhi kwa sasa. Nenda Hospitali ukatibiwe usipo pona nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom