mchana kweupee
JF-Expert Member
- Apr 18, 2019
- 235
- 250
Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu nitumie dawa gani au nikapime vipimo gani. Napata maumivu makali wakati wa usiku kuanzia kiunoni kushuka kwenye korodani hadi kwenye paja upande wa kulia.
Pia nikibinya binya korodani zangu nahisi kuna viuvimbe vidogo vidogo ndani ya korodani.
Msaada wenu wa ushauri tafadhali wakuu.
Asanteni.