Napata Maumivu Haya Kwenye Eneo La Kifua

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
723
569
Habari Wakuu! Msaada Wenu Tafadhali...

Ni Muda Wa Mwaka Mmoja Sasa Haya Maumivu Nayasikia, Ni Kama Yanauma Kuanzia Upande Wa Mbele Wa Eneo La Moyo, Baadae Yanapanda Taratibu Hadi Kwenye Shingo...
.
Sio Maumivu In Such Ila Yanakua Kama Yanabugudhi Flanii Hivii Mood Yangu... Sasa Nimeweza Kuyavumilia Kwa Mudaa Lakini Naona Si Sahihi Ina Nitafute Cure...
.
Mazoezi Nafanya Vizuri Tuu Na Mimi Ni Mtu Wa Mazoezi

Msaada Kwenu Naomba Kufahamu Wapi Nianzie


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
unavuta fegi au bange? au unakunywa sana vinywaji baridi? kama majibu ni hapana nakushauri kapime ngoma!

Mkuu Sivuti Ivo Vyote! Labda Kwenye Vinywaji Mimi Ni Mpenzi Wa Maji Baridi Sanaa...

Ngoma Hata Hapa Nilipo Nimetoka Kucheck


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Vipi kuhusu ulaji wako? Uzito wa mwili? Uvutaji wa sigara au kisukar?? Vipi kuhusu Presha ya damu??

Maumivu ktk moyo ambayo husambaa adi shingon ,wakat mwingine mabegan nahata mgongon inaweza kua ni kiashiria cha "Angina" haya ni maumivu ya kifuani namara nyingi ni dalili za uwezekano wa kua na tatizo la moyo au hata matatizo katika mishipa iletayo damu moyoni.

Mara nyingi Angina ni matokeo ya Moyo kutopokea kiwango cha kutosha cha damu ili kufanya misuli yake iweze ku contract.

Sasa basi nikushauri kufika Hosp mapema sana ili ufanye vipimo .

Maumivu ya zaidi ya mwaka unayachukulia poa. Wakat ni ishara tosha kua kuna kitu kifuani hakipo sawa.

Utekelezaji mwema. Ila upate matibabu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom