Napata Maumivu chini ya tumbo la uzazi kila ninapokuwa kwenye danger days | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napata Maumivu chini ya tumbo la uzazi kila ninapokuwa kwenye danger days

Discussion in 'JF Doctor' started by Livanga, Oct 3, 2012.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Nimekuwa nikipata maumivu chini ya tumbo la uzazi kila ninapokuwa kwenye danger days. Sijui sababu ila nakumbuka nimeanza kupata maumivu baada ya kujifungua. Hali hii inanipa wakati mgumu sana kwani kuna wakati hata kusimama inakuwa shida na kama gari inapita kwenye barabara yenye makorogesheni napata maumivu pia. Mbaya zaidi hata wakati wakufanya tendo la ndoa napata maumivu kiasi kwamba nashindwa kufanya. Hali hii inanipa wasiwasi na wakati mgumu naomba msaada wenu tafadhali.
   
Loading...