Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
254
500
Liliwahi nipata mwaka jana hilo Mkuu, nikiwa nimelala nikiamka kizunguzungu, nikiwa nimekaa nikiamka kizunguzungu.It was for a week hivi, ilibidi nikaenda pima kila kitu, nikakutwa na Cholesterol nyingi sana Mwilini.

Nikapewa dawa za mwezi mzima lakini baada ya kuzitumia wiki nzima tatizo bado lipo.Nikaingia mtandaoni nika guggle how to remove bad Cholesterol in the body.

Nikaanza kukata vitunguu maji, vitunguu swaumu, parachichi nakula after a week mambo yakawa byee.Nikatupa dawa kule nikaendelea mazoezi saiz. Nipo fiti kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom