mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,843
- 3,128
Nakumbuka 2011 nchi za magharibi kupitia umoja wao wa NATO,kupitia propaganda zilizoenezwa dunia nzima kuhusu utawala wa Libya( Gaddafi) haufai na ni lazima un'goke,wakiahidi kuifanya nchi hiyo kuwa bora zaidi ,kuliko alichofanya Gaddafi.walifanikiwa kuangusha utawala huo.
Hata hivyo lengo halikua kuwasaidia walibya bali NATO ilikua na lengo moja tu ,utajiri wa nchi hiyo na si lingine.(uporaji)
Libya imeachwa ,imetelekezwa ,maisha ni magumu haijapata tokea pamoja na utajiri wa mafuta na alimas,dhahabu ilioachwa na GDF.
Wajanja wachache walibya walioshirikiana na NATO kuangusha utawala ndio wanufaika ,hawaishi libya,familia zao ziko Amerika,Uingereza,niseme ziko ulaya kwa ujumla ndiko walikowekeza
Kinachoendelea libya ni uporaji na mauaji ya siraha zilizotawanywa na NATO.
Hata hapa nchini tunao walafi wachache wanaojificha kwenye kichaka cha uhuru usio na mipaka,lengo ni lilelile kama yaliotokea libya .
Wawindaji hao ,wakimaliza hujuma huhakikisha lawama zinabaki kwenu wenyewe kwa wenyewe, na wao kujifanya wanawapatanisha(divide and rule).
Mbaya zaidi mataifa dhurumati, tawala zinazowanufaisha huzilinda kwa gharama yoyote,mfano Saud Arabia kuhusu Jamal Kashogi, Irak Saddam Hussen ,pia Walichokifanya misri kuhusu Moris ,na sasa angalia fauro wanayotaka icheza Venezuela na Iran
Haohao ndio mabingwa wa kujifanya wanahimiza haki za binadamu na utawala bora.
Acha walibya walipie dhambi ya damu ya Gaddafi , wateseke hivyohivyo mpaka Messiah Issa bin Mariam atakarudi,
"Mwanadamu haridhiki mpaka atakapofikwa na kifo"
Sent using Jamii Forums mobile app