Napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
Habarini wadau naombeni msaada wenu wa kitaalamu kama kichwa cha habari kinavyosema napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu kwamba leseni yangu ya kutumia windows inaisha mda siyo mrefu lakini nikienda kwenye setting nakuta Windows is activated na nilifanikiwa ku activate. naombeni msada wadau jinsi ya kutoa hii error nimeambatanisha na picha. Asanteni
IMG_20181012_104253_792.jpeg
IMG_20181012_104536_890.jpeg
 
Unaweza ukawa umei-activate kwa miezi sita ambayo inakaribia kuisha ndio maana unapata warning ya kukupa taarifa.
Naweza kutumia App ipi inayoweza ku activate daima au nafanyaje ili niepukane na hii khali
 
Nenda kwa waliokuuzia watakusaidia au kwa mtaalam wa ICT ili aanze kui stall hiyo window upya, ni hamna jinsi walahi
Pole sana, ilimtokea jamaa mmoja ikabidi airudishe kwa waliomuuzia, wakamsaidia!
 
Ipeleke kwa wataalam usijaribu kufanya mwenyewe, hio window haikupatikana kihalali!
Ume update vitu vingi mpaka ikawafikia wenyewe!
Ni kweli haikupatikana kihalali japokuwa nilitumia mwanzo KMS ku activate
 
Habarini wadau naombeni msaada wenu wa kitaalamu kama kichwa cha habari kinavyosema napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu kwamba leseni yangu ya kutumia windows inaisha mda siyo mrefu lakini nikienda kwenye setting nakuta Windows is activated na nilifanikiwa ku activate. naombeni msada wadau jinsi ya kutoa hii error nimeambatanisha na picha. AsanteniView attachment 895379View attachment 895387

download hapa: Re-LoaderByR@1n.exe (1.33MB) - SendSpace.com
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom