Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 213
Habarini wadau naombeni msaada wenu wa kitaalamu kama kichwa cha habari kinavyosema napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu kwamba leseni yangu ya kutumia windows inaisha mda siyo mrefu lakini nikienda kwenye setting nakuta Windows is activated na nilifanikiwa ku activate. naombeni msada wadau jinsi ya kutoa hii error nimeambatanisha na picha. Asanteni