Napasua jipu: Tanesco ikabidhiwe kwa rostam azizi, serikali imeshndwa kuendesha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napasua jipu: Tanesco ikabidhiwe kwa rostam azizi, serikali imeshndwa kuendesha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pasco_jr_ngumi, Dec 24, 2010.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wana JF,
  NAJUA mtavmba macho kuhusu hii mada. But, i stand for logic and transparency! Hili shirika la umeme apewe mzalendo kuendesha, nchi isonge mbele. Mambo haya ya ufisadi, yataisha.. Ujamaa amekufa nao Nyerere, ECONOMIC LIBERATION AND PRIVATIZATION ndyo suluhsho la ukweli.
  Kwa hali hii, hakuna CCM, CHADEMA,CUF WALA TLP wenye kuongoza serikali yenye itikadi ya kijamaa.. Ubepari ndio suluhsho pekee.
  Hebu fikiria mgawanyo huu;
  1. Tanesco_ Rostam Aziz
  2. TRL_ BAKHERESA
  3. ATCL_MENGI
  4....endeleza wengne
   
Loading...