Napangisha nyumba (upande) na duka- kigamboni, tuamoyo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Napangisha nyumba (upande) na duka- kigamboni, tuamoyo.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by survivor03, Jan 29, 2012.

 1. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mambo vipi wakuu, napangisha nyumba yangu ina umeme upande wa vyumba 3 choo/bath, jiko (ndani ya fence) kwa mwezi 250,000 tu, napokea kodi ya miezi 12 kwanza kwa ajili ya renovation na kuweka fence, baadae nachukua kodi miezi sita hadi mitatu. Eneo ni kigamboni karibu na mikadi beach tuamoyo,karibu na shule ya raha leo nyuma yake kidogo kuna soko,ni karibu toka feri hata bila ya kutumia usafiri. Na duka ni upande wa pili same house, kodi ni 70,000 kwa mwezi napokea kwanza ya mwaka kwa ajili ya renovation halafu baadae nachukua miezi sita hadi mitatu. Na kuna vyumba vya uani kwa wanaohitaji kodi 25,000 kwa mwezi, napokea ya mwaka kurenovate baadae miezi 6 hadi 3. Kwa wapangaji na madalali mnakaribishwa. Contacts: 0715388666, mohdnass3@gmail.com (ni PM)
  ''WAHI SASA; DARAJA HILOOO..'' Ahsanteni!
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwanini usipokee ya miezi sita kwanza? Ili mradi utakapoanza mpangaji wako asiwe amekula hasara? Au utarudisha kodi?
   
 3. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ndugu kila jambo halikosi kuwa na maelewano mtu kama yuko interested kukaa karibu na maeneo ya beach kwa bei poa kabisa siyo ya kitamaa,na hela ikitoka tutandikishana mikataba serikali za mitaa. tuwasiliane, na madalali issue iko wazi, changamkieni kazi yenu.
   
 4. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yaani wewe una balaa kweli kweli, nyie si nasikia mmelipwa tuhela twenu mhame mumpishe bush? Sasa unataka kurinoveti mali ya bush?
   
 5. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kaka nitakutafuta sipo mbali na wewe!!
   
 6. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Huyo Bush ulimsainisha wewe mkataba wa kununua kigamboni, hizo hela ulipewa wewe utulipe, wacha kuongea pumba jambo ambalo hulijui.
  Nyota njema imeangukia kigamboni kwanza; stop order imekwisha ya kuzuia wananchi kutoendeleza nyumba zao, kwa hiyo sasa watu wanajenga nyumba zao kama kawaida. Pili daraja linaanza kujengwa mwezi ujao, kwahiyo kigamboni kutakuwa ni karibu zaidi. Tatu kuhusu mji mpya finaly mwezi wa sita mwaka huu wananchi hatuutaki tena, na rasmi tangazo litatolewa la watu kununua na kuuza kama kawaida kama alivyosema Mbunge wa Kigamboni Dctr. Faustine. Na mwisho hakuna mtu anayelazimishwa nyumba kuuza au kuingia ubia bila idhini yake mwenyewe, na isitoshe kila nyumba ina legal documents iwe planned au skwata kwa hiyo kila kitu kinafanyika kitaratibu zake za kisheria. Wacha ndoto potofu za eti kunyang'anywa nyumba kama madafu, nchi (serikali) yetu haijafikia huko.
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu inabidi nikutafute. Mimi ni mwekezaji wa kichagga!
   
 8. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ok! Ndugu contacts zangu nimeshazitoa tayari, shukran ahsante.
   
 9. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Acha ukali bwanamdogo, unajua lugha kali kwa wateja utakosa biashara. MImi nataka niinunue kabisa
   
 10. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ulinichanganya kidogo, naona sasa tupo pamoja... Ahsante!
   
 11. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sawa mkuu tuwasiliane.
   
 12. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  madalali mpoo? Wahitaji vipi(wakupanga)? nafasi ya maduka mawili zimebakia na vyumba vitatu, bei poa ni contact tuongee..
   
 13. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo knye maduka panafaa kwa grosary (bia na kitimoto) panalipa na unaruhusu?? ni populated are au uchochoroni (ndani ndani)
   
 14. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Chumba cha ndani kimoja available kitupu haitaji renovation cha kuingia, kama nilivyosema awali nyumba ina umeme. Kodi ni 25,000/month nahitaji ya mwaka. Kwa anayehitaji tuwasiliane. Ahsante.
   
Loading...