Napanga kuyashitaki makanisa na serekali kwa mgomo huu wa madaktari!

Status
Not open for further replies.
wameshatoka disco tayari sasahivi wanapata lunch,ngoja wamalize lunch uone matusi!

Mkuu usiwe kama wale luddites kwenye industrial revolution ambao walipigana vita vya kuharibu machines pasipo kujua their real enemy, Adui wa wetu sio kanisa na laiti ungejua kuwa maneno yenu haya 1 dei yataligharimu taifa kama Nigeria wala usingetoa kashfa zako wa imani ya wenzako.
 
Unatakiwa kwanza uwashitaki watanzania wanaopata huduma kutoka kwenye makanisa hayo, pili serikali haiwezi kupeleka mkaguzi kanisani kwa kua haipeleki hela kanisani, serikali inalipa mishahara kwa baadhi ya watumishi wa hospitali za makanisa na inapeleka madawa na vifaa tiba ambavyo waislam wanatumia wakiugua kwenye hospitali kama, KCMC, BUGANDO, PERAMIHO, Haidomu na hospital teule zote za wilaya zinazomilikiwa na Makanisa, JK amewaambia kama mnataka na ninyi mpate Ruzuku hio Jengeni Shule muelimike maana mko nyuma sana, Jengeni Hospital, zahanati, vituo vya afya, Vyuo vikuu, na Vyuo vya ufundi stadi, toeni huduma za kusambaza umeme,maji vijijini, Mkijenga Mskiti jengeni na shule na Hospitali msijaze vibanda vya maduka ili mpangishe wapemba Nanina hakika mkifanya hivyo mtaacha kuwa watu wa chini na mtaacha kulalamika bila sababu
 
JK alikliri wazi kwamba makanisa uanatengewa mabiluion ya shillingi ya serakali kwa ajili ya kutoa hoduma. hizi ni pesa nje ya bajeti ya serekali. Kwa bahati mbaya wabunge wengi huzungumzia maendleo mabovu ya sekta ya Afya bila ya kuzitaja mabilion haya ya Umma ya walipa kodi wa kitz
lkn *kinachoshangaza hakuna udhibiti wa ukaguzi wa mapesa haya ya umma. Mkaguzi mkuu wa serekali hajawahi kutoa ripoti ya ufisadi unaofanywa kupitia Ufisadi wa miradi hii. Hospital za makanisa nazo zinagoma huku serekali ya CCM ikitoa ruzuku ya mabillion ya shillingi haya + bajeti ya wizara ya afya nayo ikiangukia huko huko BUGANDO na KMC. lkn nao wanagoma
Hizi pesa zingalitumika ipasavyo, migomo kama hii kamwe isingetokea kak taifa letu.
hapa ni wazi makanisa na serekali inatuhadaa watz.

Another uprising political party in Tanzania.

Only time will tell.
 
Mbona kanisa ilipewa MoU kabla ya kujenga hata hospitali moja??

Niambie chuo na hospitali ya kanisa kabla ya 1992??

Mabilioni ya umma kuendeleza miradi ya kanisa??

Besides waislamu wakienda kutibiwa wanalipa pesa zao mkuu tena nyingi kupita hospitali za serikali??

HUDUMA YA KULIPIA PAMOJA NA RUZUKU YA BURE?? =EPA
 
hawawezi kujenga vyuo! Kusoma wanapenda!? Mihadhara watamuachia nani ndugu yangu?

Hata wakijenga mashule na vyuo watajaa wenzao tu.
 
kanisa lifanye ufisadi tu, kwa wanaharakati wetu sio dhambi. Tz hii hata miaka 10000000 hakuna maendeleo.

Wewe umeisha pagawishwa kilichobaki ni kuvaa tu mkanda na kujilipua, hakuna hekima yoyote hapa duniani itakayo kusaidia, maskini utakufa kwa moto wa kujilipua na kwenda moja kwa moja kwenye moto mkuu wa jehanam yaani from fire to fire
 
Ungefafanua vizuri makanisa na serikali vinawahadaa vipi Watanzania la sivyo utaonekana unachuki binafsi na makanisa pamoja na serikali
JK alikliri wazi kwamba makanisa uanatengewa mabiluion ya shillingi ya serakali kwa ajili ya kutoa hoduma. hizi ni pesa nje ya bajeti ya serekali. Kwa bahati mbaya wabunge wengi huzungumzia maendleo mabovu ya sekta ya Afya bila ya kuzitaja mabilion haya ya Umma ya walipa kodi wa kitz
lkn *kinachoshangaza hakuna udhibiti wa ukaguzi wa mapesa haya ya umma. Mkaguzi mkuu wa serekali hajawahi kutoa ripoti ya ufisadi unaofanywa kupitia Ufisadi wa miradi hii. Hospital za makanisa nazo zinagoma huku serekali ya CCM ikitoa ruzuku ya mabillion ya shillingi haya + bajeti ya wizara ya afya nayo ikiangukia huko huko BUGANDO na KMC. lkn nao wanagoma
Hizi pesa zingalitumika ipasavyo, migomo kama hii kamwe isingetokea kak taifa letu.
hapa ni wazi makanisa na serekali inatuhadaa watz.
 
Malumbano una kila haki ya kufanya hivyo na ni wazo zuri sana nami nakuunga mkono na ntachangia gharama za kesi.
 
Ques hujajua kwa nini huduma za afya ni mbovu kijana acha kukurupuka,ongea na madaktari ufahamishwe uzuri,kuna vifaa tiba,madawa,posho,nyumba za matabibu wote,mazingira mazuri na matamu ya kazi(hizo ndizo sababu watoazo madaktari) je?, hayo yote yapo katika hizo hospitali za dini? kama yapo nakushauri nenda kafungue kesi ntakupa msaada wa kisheria
 
Naona muungano umeshindikana kuuvunja,sasa mnataka kuivunja Tanganyika vipande vipande magaidi wakubwa nyie!
Nani kakudanganya kama muungano umeshindwa kuvunjika subiri muda mdogo tu z'bar haitosimama kujitoa katika ukoloni wa mtu mweusi mpaka kieleweke bila kusimama taifa la z'bar muungano huu bado uko shakani
 
Mmeonaa hoja? Eti 1992 wakati wa MOU kanisa lilikuwa halina kitu! Hiyo KCMC na bugando, muhimbili hazikuwepo?
 
JK alikliri wazi kwamba makanisa uanatengewa mabiluion ya shillingi ya serakali kwa ajili ya kutoa hoduma. hizi ni pesa nje ya bajeti ya serekali. Kwa bahati mbaya wabunge wengi huzungumzia maendleo mabovu ya sekta ya Afya bila ya kuzitaja mabilion haya ya Umma ya walipa kodi wa kitz
lkn *kinachoshangaza hakuna udhibiti wa ukaguzi wa mapesa haya ya umma. Mkaguzi mkuu wa serekali hajawahi kutoa ripoti ya ufisadi unaofanywa kupitia Ufisadi wa miradi hii. Hospital za makanisa nazo zinagoma huku serekali ya CCM ikitoa ruzuku ya mabillion ya shillingi haya + bajeti ya wizara ya afya nayo ikiangukia huko huko BUGANDO na KMC. lkn nao wanagoma
Hizi pesa zingalitumika ipasavyo, migomo kama hii kamwe isingetokea kak taifa letu.
hapa ni wazi makanisa na serekali inatuhadaa watz.

Ndiyo maana una tabia ya kukalia kitu chenye ncha kali siku jioni tena kwa kujificha GF asikione ukikalia na kulia kama yeye .Hizi si akili za kawaida ni za mtu wa aina hiyo nilivyo sema
 
Mbona hulalamiki kuhusu Aghakan wanaopewa msamaha wa kodi kwa ajili ya kutoa huduma ya afya na elimu wakati wote tunajua taasisi zake ndio zinaongoza kwa gharama kubwa nenda mahakamani ili wakuelimishe vizuri na mwisho ujiandae kulipa gharama za kesi
 
Yani hapa nikichangia tu nakula BAN YA MAISHA.
MODS hizi thread nyingine zinaamsha hisia zetu.
Nahisi mnataka kutupunguza jukwaani kwa ban
Ngojeni tuchangie JF kwanza then mtupige BAN
 
JK alikliri wazi kwamba makanisa uanatengewa mabiluion ya shillingi ya serakali kwa ajili ya kutoa hoduma. hizi ni pesa nje ya bajeti ya serekali. Kwa bahati mbaya wabunge wengi huzungumzia maendleo mabovu ya sekta ya Afya bila ya kuzitaja mabilion haya ya Umma ya walipa kodi wa kitz
lkn *kinachoshangaza hakuna udhibiti wa ukaguzi wa mapesa haya ya umma. Mkaguzi mkuu wa serekali hajawahi kutoa ripoti ya ufisadi unaofanywa kupitia Ufisadi wa miradi hii. Hospital za makanisa nazo zinagoma huku serekali ya CCM ikitoa ruzuku ya mabillion ya shillingi haya + bajeti ya wizara ya afya nayo ikiangukia huko huko BUGANDO na KMC. lkn nao wanagoma
Hizi pesa zingalitumika ipasavyo, migomo kama hii kamwe isingetokea kak taifa letu.
hapa ni wazi makanisa na serekali inatuhadaa watz.

Kama kweli unaogopa DAMU isimwagike Jaribu kuueleza Umma au JAMII ukweli bila CHUKI na BILA kueneza UONGO na

Kuhamasisha Gharika kati watu. Bugando na KCMC pamoja na kuwa zimerudishwa kwa Makanisa Serikali bado ina

Asilimia yake kutokana na Makubaliano yao ya kurudishwa serikali ilitaka kuwa Mgojwa yoyote atakayepelekwa

Kwenye hospitali hizo lazima atibiwe bila Ubaguzi. Na hizo Hospitali pia zina Vyuo vya Udaktari ambavyo serikali

Inavitumia kupata wataalamu awake; wanaochaguliwa kujiunga na vyuo hivyo wanachaguliwa na serikali na

Sio DINI za hizo Hospitali. Mishahara ya Madaktari kwenye hizo hospitali zinafuata Mishahara ya Serikali na

Sio Mishahara ya Makampuni Binafsi, Wanalipwa sawa kama vile Muhimbili.

Na kwanini unazichagua Bugando na KCMC wakati Viongozi wote walioanzisha huo Mgomo wako Dar????

Na kama ni Bugando na KCMC kwanini Basi Madaktari Waislamu wasiende kufanya kazi????

Acha kuleta FITINA ZA UDINI ILI KUMWAGA DAMU, kama unapenda
HARUFU YA DAMU YA MWANADAMU NENDA

SOMALIA ( Ni Nzito Inanuka, hauwezi kuinywa kama ya Ng'ombe na Ukiua Mwanadamu ni Dhambi kwa Mwenyezi

Mungu)
 
Kufuata dini za waarabu ni hatari sana. Jamaa hawana akili, hawana utu na hawana huruma. jamaa wana roho mbaya na wivu wa kijinga.
 
Mbona kanisa ilipewa MoU kabla ya kujenga hata hospitali moja??

Niambie chuo na hospitali ya kanisa kabla ya 1992??

Mabilioni ya umma kuendeleza miradi ya kanisa??

Besides waislamu wakienda kutibiwa wanalipa pesa zao mkuu tena nyingi kupita hospitali za serikali??

HUDUMA YA KULIPIA PAMOJA NA RUZUKU YA BURE?? =EPA

na wewe unaijua EPA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom