Naota mdogo wangu ananikaba usiku. Je, anaweza kuwa mchawi?

Ebu jipange siku,ikifika usiku oga zake tafuta utulivu chumbani,piga goti omba toba,tubu haswa kutoka moyoni,ombea toba wazazi,ndugu zako na ukoo
Ukimaliza ingia maombini,1Petro 1:18-19 unajua hatukukombolewa kwa vitu viharibikavyo si fedha wala dhahabu ili mtoke katika mwenendo uaiofaa mliorithi toka kwa baba zenu,bali tulikombolewa kwa damu ya Yesu,sasa itumie damu Yesu kwa imani,jikomboe mwenyewe,mkomboe huyo ndugu yako,aiseee my friend damu ya Yeau ina nguvu ukiiamini utakuja kujibu
Tumia pia kujiwekea ulinzi
Pia omba Mungu akupe jibu kuhusu huyo ndugu yako
Utakuja kutoa ushuhuda hapaa
 
Back
Top Bottom