Naongea na mwenye mbwa siongei na mbwa

Tuache majungu na uchonganishi wa kijinga.Watu wakitofautiana kauli au wakigombana siyo ndiyo uadui wa milele.Jua kila mmoja alikuwa anatetea maslahi yake na hatimaye yakaisha.Tambueni cheo kisiwe ndiyo chanzo cha kuwanyanyasa wengine kwa visasi.
 
Uzi umekaa ki-CCM ie ubaguzi,mipasho,visasi,umbeya. Hakuna jipya. Umebikumbusha lile bango la Zanzibar,siku ya Mapinduzi. Tuache ubaguzi,tuache kuchongeana
 
kwani kuwa raisi ndo kuwa bilionea?

wewe unafikiri raisi anaweza akaufikia utajiri wa huyu bwana mdogo?

hata akiwa raisi kwa miaka 20 hawezi kuufikia utajiri wake..

au kwa sababu yeye ndo amiri jeshi wa nchi hivyo unafikiri anaweza kufanya lokote..

pesa inaongea buanaaa, kwanza ana uraia wa nchi kibao hivyo mkimzingua anahamia abroad

just a kidding.. lakini ni kweli...!!!!!

ILA MIMI KWA JINSI ULIVYOMSEMEA NAHISI KUWA NI MOHHAMED DEWJ na siyi hyyo HANS POPE
 
Kweli wandugu tuwe makini na maneno yetu yasije tuponza baadye kama huyu
 
Siyo huyo tu...Ni kwa wote wenye dharau kama hizo... unamtukana na kumdharau mtu njiani... mwisho wa siku unijikuta ili mambo yako yafanyike lazima yeye apitishe...
 
Mnamjua zakaria hansi popu vizuri? Mnataka kuturudisha tena enzi zile haya mimi sikushuhudia dj lufufu hebu rewaindi ile movi tena
 
Kuna siku nikiwa Lusaka kipindi cha kampeni mkurugenzi wa jiji la Lusaka alimyima sata kibali cha kufanya kampeni, sata akatinga hadi jiji akamwabia yule mkurugenzi kuwa hawaambie waliomtuma kuwa siku akiwa rais atakomesha tabia ya watumishi kuwa sehemu ya vyama tawala, alichoambulia sata ni tusi toka kwa yule mkurugenzi kuwa, wewe mbwa asiye na Elimu nani akupe urais wa nchi, kama siyo walinzi wa sata ngumi zingelika, bahati mbaya kwa mkurugenzi sata akashinda urais.
Kabuli la mkurugenzi liko wapi kwa sasa
 
Back
Top Bottom