Naongea kwa sauti ya Magu ("ungekuwa wewe ungefanyaje ?")

escapee

Senior Member
Feb 1, 2020
133
210
Habari zenu? (in Magus's voice)

Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020,lengo ikiwa ni kumchagua kiongozi mkuu wa taifa letu.Hapa tunajikita kwenye ngazi ya Urais.

Kuna watu wengi sana kwenye mitandao ya kijamii, wanamaisha huko,maisha yaliyo tofauti kabisa na haya tuishio.

Kwenye mitandao kila mmoja ana IQ kubwa,ana maisha mazuri na anajua kushauri na kukosoa hata asiyo yajua.

Ili uwe intelligent enough to handle all kind of situations ni lazima uwe una fafanua kwa details kwamba yule hafai kwa kuwa ana mapungufu haya...........(yataje) pia fafanua ulitaka aweje au afanye nini ili awe bora.

Pia tufafanulie kwamba yule anafaa kwa sababu zipi? unahisi angefanya nini zaidi ya huyu?

Nb.
Eti amempendelea Chatu, kampiga matatoo ya nguzo za kitaifa.kampiga tatoo ya nembo ya mahakama kamtatoo traffic lights kamtatoo logo ya tanapa nk...

Kwani chatu yupo hifadhi ya Woo tun? si ipo ardhi ya tz? kwani siku akiwa mwenda zake si watanufaika wana nyoka ambao pia ni wa Tz wenzetu.

Maana yangu toeni maoni aweje sasa? siyo tu kumlalamikia Living stone bila kuainisha mambo kwa hoja.

Mzee anapambana na mengi hakuna haja ya kuyasema maana yapo wazi. UZARENDO ni mshikamano na siyo mashindano.
 
Back
Top Bottom