Naonekana mzee wakati 24 yrs

Nov 8, 2017
22
12
Jaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui ni sababu msaada nfanyeje nionekane as my age
 
Ongezea nyama kwenye uzi wako huo uzee unaonekana kiaje
 
Badili njia zako za Uvaaji,
Uzungumzaji,
Makundi unayojichanganya nayo,
Tembea yako,
Kuwa mchangamfu,
Pendelea vya vijana, siyo unajiendea kupenda bendi wakati vitoto unavyovitaka wanawapenda akina Diamond.
Ikibidi hata njia zako za kunyoa.

Jaribu kupendeza.
 
Jaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui ni sababu msaada nfanyeje nionekane as my age
Relax kijana...kula vzur hasa ,hasa vyakula vya mafuta ,, maana chaputa imekumalizia mafuta mwilin.

Nahisi hapo ulipo ukijinyoosha tuu joint zinalia km MTU anayevunja kijiti Ka Ka Ka Ka.

Kula kwanza ,,achana na mazoezi .,,KUNYWA MAJI MENGI KILA MARA .,,OMDOKANA NA MAZINGIRA YA MAWAZO NAUSIWAZE KITU .

UTAKUA KIJANA WAMIAKA 18
 
Acha kukaa vijiwe vya kahawa na wazee,
Acha kuvaa suruali za wastaafu wa hali ya chini,
Acha kunywa pombe zisizo na tbs,
Acha kuvuta sigara kubwa,
Acha kuwaza jambo moja kwa muda mrefu.
 
772ad736c3725a878bc5c3c081be5d04.jpg

Usihofu kijana mbona hujazeeka.
 
Jaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui ni sababu msaada nfanyeje nionekane as my age
Hivi wanaume wa Dar, kwanini mnadeka sana....
Shubamit....
 
Jaman mwenzenu kuna jambo linaniumiza sana ninamiaka 24 lakini naonekana kama na miaka 37 kwenda juu nfanyaje maana sina raha watoto wanankataa shikamoo nying duuu nb.nlikuwa chaputa mzuri tu sjui ni sababu msaada nfanyeje nionekane as my age
Kaulize aliekuleta dunian
Pambana na haliyakooo
 
Back
Top Bottom