Naonea fahari jina langu la kilugha

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,706
155,289
Kuna baadhi ya watu kwa bahati mbaya wamekosa majina ya kilugha, mathan mtu anaitwa Mariam Ally Juma au Humphrey John Nicolaus.
Da hata ukimuuliza jina lako la ukoo ni nani nalo pia hana, anakuambia tunamajina ya kidini tu.
Jina langu Malankangale Tunkongege.
Im proud of it.
Nawatakia siku njema wale wote wanao yaonea fahari majina yao ya asili.
mungu awabariki sana
 
ME TOO KHEMBWENI KHENDOLILE MBILINYI
MAJINA MATAMU HAYA lo!
 
Mikela Gene.... safi sana, nikienda China, Marekani na kwingine kokote natambulika kwa jina langu kuwa ni Mwafrika.
 
Umeamua kuniponda, sawa tu
Kuna baadhi ya watu kwa bahati mbaya wamekosa majina ya kilugha, mathan mtu anaitwa Mariam Ally Juma au Humphrey John Nicolaus.
Da hata ukimuuliza jina lako la ukoo ni nani nalo pia hana, anakuambia tunamajina ya kidini tu.
Jina langu Malankangale Tunkongege.
Im proud of it.
Nawatakia siku njema wale wote wanao yaonea fahari majina yao ya asili.
mungu awabariki sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom