Habarini wadau. Naona tokea jana sielewi line yangu ya tigo, haisomeki. Nikipiga customer service hairespond. Nikicheki salio inaleta error text.... Na sipati internet kabisa imekata.