Naona tatizo lile lile la Kimsingi limeendelea kujirudia

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,068
107,559
Niseme tu kwamba hakuna ulazima wowote wa kutaka kumuiga Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere jinsi ya kuhutubia hadhara bila ya kusoma mahala popote. Binadamu tunatofautiana sana tu na ikumbukwe kwamba naturally Nyerere alikuwa ni historian hasa hivyo kuzungumza mara kwa mara Kwake kulikuwa ni jambo rahisi mno na ambalo aliliweza pia.

Sisi akina GENTAMYCINE ambao naturally ni Scientists tutake tusitake hatuna ' ubavu ' wa kuzungumza vizuri na kiufasaha kabisa bila ya kuwa na mwongozo wowote wa Kimaandishi ( hapa namaanisha Hotuba nzima iliyoandikwa )

Yafuatayo ni madhara makubwa ya Wanasayansi akina GENTAMYCINE kupenda kuzungumza mbele ya hadhara bila kusoma katika kile ambacho nimeandikiwa na nimeandaliwa Kukizungumza kwa wanaonisikiliza:

  1. Kupayuka sana
  2. Kuongea pumba nyingi
  3. Kurudiarudia jambo lile lile
  4. Kupoteza ' calories ' nyingi na kila mara ukajikuta unakunywakunywa tu mimaji
  5. Kupandwa na Hasira kwakuwa utajikuta unaibua kitu ambacho hukutakiwa kukisema
  6. Kupoteza muda ambao uliandaliwa kuwepo eneo la tukio
  7. Kuwachosha / Kuwaboa Watu japo wanaweza wasikuonyeshe ila mioyoni wanakusanifu tu
OMBI

Wanasayansi wenzangu hebu tujitahidi sana pale tunapokuwa tunaongea mbele za Watu basi tujitahidi au tuwe tunawaomba ' Wasaidizi ' wetu wawe wanatuandalia ' Hotuba ' zetu ili tukiwa tunaongea basi kweli tuonekane kwamba Sisi akina GENTAMYCINE ni ' Wanasayansi ' wa ukweli na hatukubahatisha kupata Degree, Masters na PhD's zetu.

Nawasilisha.
 
Mkuu

MKUU WANASAYANSI KUMBE TUNAO HAPA TZ.....any way kila MTU Anatole model wake.....Mimi binafsi siamini kuwa ukimuiga nyerere ndo utaonekana wewe NI bora
KUNA WALIOKUWA BORA ZAIDI YA NYERERE...NA KUNA WALIOBORA LEO ZAIDI YA NYERERE,KUHUTUBIA NI SANAA KAMA SANAA ZINGINE INAHITAJI KIPAJI NA HOTUBA BORA HAIPIMWI KWA KUSOMA AU KUTOKUSOMA BALI HUPIMWA KWA MWITIKIO WA HADHARA,ULICHOKUSUDIA KUFIKISHA KIMEELEWEKA AU HAKIJELEWEKA,HAWA UNAOWAITA WANASAYANSI NI HULKA ZAO KUFOKA HATA KAMA WAKIANDIKA STILL WATAFOKA ILI KUUONYESHA DOMINANCE NA MADARAKA KWANI BADO HAWAJAAMINI KUWA WAO NI MABOSI
 
Hayo ni maoni yako binafsi, ukiniuliza mm ntakuambia mkuu kahutubia vizuri tu na nimemuelewa.
 
Utaelewa siku atakapo chaguliwa na wa kigoto pekee yao ndiyo utashindwa kuelewa. Upendeleo ni tabia ya mtu muovu
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom