Naona taratibu vita kati ya EFM na Wasafi FM inazidi 'kunoga' tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Leo akiingia kuchangia 'kiuchambuzi', mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa kicheko cha 'kinafiki' kisha akahoji, je madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote studioni wakaanza kuangua kicheko ambacho kinaonesha kabisa kuwa ni 'kijembe' kwa wale waliowakimbia.

Juzi tena kuna Mtangazaji wa Michezo wa Efm Manuel Maziku nae alipoingia katika Kipindi cha Usiku cha Michezo Kiitwacho E Sports nae alipiga ' Kijembe ' cha ' Kiaina ' kwa kututaka Sisi Wasikilizaji wake tusihamishe Idhaa na kuwasikiliza ' Matapeli ' kisha ' akazuga ' na kuendelea na Kipindi.

Kama CEO's wao akina Majizzo na Diamond hawatakaa chini ili kuweza ' Kuzima ' hizi Chuki na haya Mafumbo yaliyojaa ' Vijembe ' ambavyo sasa wanaanza Kutoleana naliona tatizo Kubwa linakuja baina ya hivi Vyombo viwili vya Habari vya Efm na Wasafi fm.

Visasi Kazini sasa!
 
Leo akiingia Kuchangia ' Kiuchambuzi ' Mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa Kicheko cha ' Kinafiki ' kisha akahoji je, Madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote Studioni wakaanza Kuangua Kicheko ambacho kinaonyesha kabisa kuwa ni ' Kijembe ' kwa wale waliowakimbia.

o_O:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Nilikuwa nasubiri nione Kati ya Hawa ndugu watatu vipanga wa JF ni yupi ataiga mwandiko wa mwenzie. Naona mpingavijidudu amemuiga mla mizoga!
 
Mambo hayo Mimi nayaita pesa au mtaji ndio yanaongeza chachu ya ushindani wale ni professional ni vita ya kiushindani sio personal
 
Kuna siku walikuwa wanasema katika watu wanne kuna mmoja ni mgonjwa wa akili, kwa hiyo hata hapa tulipo kwenye joto la asubuhi kuna mgonjwa wa akili mmoja. Jamaa akadakia, koma! Hapa wote wazima, wagonjwa wa akili walishaondoka wenyeeewe!
 
Leo akiingia kuchangia 'kiuchambuzi', mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa kicheko cha 'kinafiki' kisha akahoji, je madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote studioni wakaanza kuangua kicheko ambacho kinaonesha kabisa kuwa ni 'kijembe' kwa wale waliowakimbia.

Juzi tena kuna Mtangazaji wa Michezo wa Efm Manuel Maziku nae alipoingia katika Kipindi cha Usiku cha Michezo Kiitwacho E Sports nae alipiga ' Kijembe ' cha ' Kiaina ' kwa kututaka Sisi Wasikilizaji wake tusihamishe Idhaa na kuwasikiliza ' Matapeli ' kisha ' akazuga ' na kuendelea na Kipindi.

Kama CEO's wao akina Majizzo na Diamond hawatakaa chini ili kuweza ' Kuzima ' hizi Chuki na haya Mafumbo yaliyojaa ' Vijembe ' ambavyo sasa wanaanza Kutoleana naliona tatizo Kubwa linakuja baina ya hivi Vyombo viwili vya Habari vya Efm na Wasafi fm.

Visasi Kazini sasa!
Bwa sheneji kumbe unejua mswahili tikautiko kanda ya ziwa haha mambo waachie wenyewe
 
Back
Top Bottom