Naona Siasa za Uganda, Zimbabwe zimeingia Tanzania zinanukia za Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naona Siasa za Uganda, Zimbabwe zimeingia Tanzania zinanukia za Kenya

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Duble Chris, Jun 6, 2011.

 1. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Siyo jambo la siri sasa , naona mambo anayo fanyiwa KIZA BISEGYE wa Uganda na dola ya Uganda dhahiri zipo Tanzania awali nilikuwa nadhani WTZ ni wana IQ kubwa ya kuzuia migororo ya kisiasa isiyo ya lazilma basi na tija kwa umma isijitokeze kumbe siyo.

  Hivi hawa wana interejensia hawawezi kusoma alama za nyakati hadi waone damu inamwagika ndipo wabaini cha kufanya, kuna tatizo gani au madhara gani yatakayo jitokeza endapo MBOWE angeachiwa kwa kupewa mdhamana tu.

  MBOWE ameenda mwenyewe polisi halafu wanamfungia hawoani kuwa hilo ni tatizo kulingana na mtu mwenyewe na chama anachoongoza jinsi kinavyo kubalika na wengi hivyi hawajui vurugu huwa zina anza kwa mambo madogo sana kama haya " chanzo ni Marry Chatanda kumchagua wa CCM huko Arusha" Jamani eeeeh IQ ni muhimu sana kuitumia mambo potezea kama hamuyaoni ili kuepusha migogoro isiyo na ulazima.

  Aidha nawaomba WTZ tuwe watulivu ktk kipindi hiki kigumu, cha mpito kuelekea UKOMBOZI wa kweli BUSARA " IQ " itumike hapa.
   
Loading...