Bushloiaz
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 721
- 805
Wajinga nao huzeekaZamani nilikuwa najua mtu mwenye kipara ana hekima
Wajinga nao huzeekaZamani nilikuwa najua mtu mwenye kipara ana hekima
Mnakemea maovu au mnapalilia uovu!Hamna mtu analia bali tunakemea uovu.
Anatakiwa aje dereva ajieleze hatutaki ujanja ujanja!
yawezekana wapo waliokula lakini kimaandishi hawaonekani. Km wao waliwagawia pesa Sasa mahakama itathibitishaje hapoMkuu twende pamoja hapo pa kuonewa. Rugemalila na Seth wako ndani mpaka leo, je watu walioshirikiana nao toka ccm/ serikalini mbona hawapo ndani kama sio uonevu?
Hatutaki mambo ya ramli taja tumjue!Unauliza vumbi darini?
Mwanzo kisingizio alikuwa anaumwa saikoloji,Lissu anambwela ni lini alikuja bongo tangu akimbie majukumu na wananchi wake!Dereva haji kuhojiwa bali anatakiwa ili atishiwe na kulishwa maneno. Lissu yupo hai yuko tayari kuhojiwa, mbona hatakiwi yeye?
Mnakemea maovu au mnapalilia uovu!
Hatutaki mambo ya ramli taja tumjue!
yawezekana wapo waliokula lakini kimaandishi hawaonekani. Km wao waliwagawia pesa Sasa mahakama itathibitishaje hapo
MkuuKiongozi gani kaboronga halafu katetewa!
Hukumbuki watu walivyobeba pesa kwenye sandarusi. Wewe nafikiri kwasababu wapo waliopata mgao ndo unahisi wanamakosa au la.. lazma uangalie mchakato wa kufanyika hilo dili liliratibiwa na nan. Aliyeratibu ndio tunamtakaPesa ya serikali itoke bila maandishi, unajua unachoongea boss?
Hawata weza system iko imaraNaona hii tabia ya kutetea wanaokosea na zikichukuliwa hatua stahili.,
Wapo mapuruzai kibao wanajitokeza kutetea utopolo wa huyo mkosaji.
Tumeshuhudia hapa mafisadi,watakatisha pesa,wauza madawa ,yule mwandishi wote hawa walipata watetezi kwa makusudi kwa makusudi kutaka kuonyesha kama wanamkomoa mtu kumbe wanazidi kuchochea moto,
Hivi sasa kuna mmoja kafanya kosa la kucheka picha ya raisi bado kuna watu badala ya kujaribu kutoa rai kumshauri kijana asirudie makosa, kuna watu wanataka kufanya kama hakufanya kosa,
Kama hakudhamiria kwanini hakuchukua picha ya mzazi wake wa kike au kiume akaanza kucheka. lakini kwa kuchukua picha na kuanza kuidhihaki hapo ametumbukiza mguu wenye kiatu kwenye sufuria la ubwabwa lazima awatambue wenye shughuli ili kesho asirudie tena afunzwe sana!
Mtoto hakanywi akienda hukanywa akisharudi wakati yameshamkuta ya kumkuta!
Bakora haichagui pa kutua kwa mtoto mtukutu!
Mahakama ipi wewe ukiwa kiongozi unatakiwa uwe makiniHao ni watuhumiwa, mtuhumiwa yoyote ni innocent mpaka mahakama ithibitishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni upuuzi kucheka picha ni udhalilishajiKwani kosa la kuicheka picha ni sheria ipi imevunjwa?
Kumbe jamaa alitakiwa kulia baada ya kuiona ile picha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada murua kabisa. Nikikumbuka shambulio la Lisu na kisha mkajitokeza kumtetea mtuhumiwa, acha tu.