Naona sasa ning'atuke kutoka kwake

Tunaishi kwa kuviziana saivi, funny but not funny daah😂😂

Stress za mapenzi ni za kuzikataa kabisa, kwanza zinaepukika kuliko kuforce mambo mwisho wa siku ndio yale yale ya kuchomana na petrol mara huyu kachomwa kisu kisa wivu wa mapenzi.
Hali ni inatishaaa!

Ukiona huyu hatuwezani bora usepe zako kwa amani tu kuepusha shari hasa kama unajijua una short temper.
Wengi tunachokosea ni kutokujipa kipaumbele. Wengi hatujui kuwa kabla hujawaza kumpenda mtu unatakiwa wewe ndiyo ujipende kwanza. Na kama utajipenda hautakubali kupelekwa mchakamchaka na mtu mliyekutana few months/years back.

Tunachokosea tunapenda mpaka kujisahau kabisa, tunasahau hata umuhimu wa kuthamini hisia zetu.
 
Very true, tukiweza kurekebisha hapo basi mahusiano mengi yatakua na afya na matokeo chanya.
 
Nilisimulia story ya mpenzi wangu anayependa kununa ovyo. Basi Leo naona nibwage manyanga kwenye penzi hili.

Tulikuwa vizuri tu na nilikuwa namjali sana tu. Ila mambo yameenda tunachat vizuri tunaongea ila usiku tulichat vizuri kesho yake nikawa namcheki lakin hajibu Wala hapokei simu. Jioni nikaenda kuonana naye, nikamuuliza shida ni Nini?

Akaniambia kuwa ni kwa sababu sikwenda kumuona Jana yake. Tukaongea yakaisha. Usiku tukapigiana simu tukaongea tukaagana vizuri. Kesho yake Tena ikawa hivyo hivyo. Hapokei Wala hajibu text. Sasa nimemfata Leo jion namuuliza tatizo lako ni Nini?

Anasema hataki kuongea na hajisikii kuongea na mimi. Ikabid niondoke. Ila kwa hapa naona nibwage tu manyanga maana hajibu Wala hapokei simu yangu. Kesho ntamfata nimuambie najua hanitaki Tena iwe ndo mwisho hatonisikia Tena. Wadau mnaona je maamuzi yangu?
Umwambie ya nini tena. Wee hapo ni kuuchuna ataisoma namba mwenyewe
 
Wengi tunachokosea ni kutokujipa kipaumbele. Wengi hatujui kuwa kabla hujawaza kumpenda mtu unatakiwa wewe ndiyo ujipende kwanza. Na kama utajipenda hautakubali kupelekwa mchakamchaka na mtu mliyekutana few months/years back.
Tunachokosea tunapenda mpaka kujisahau kabisa, tunasahau hata umuhimu wa kuthamini hisia zetu.
Ur username sums up the nature of relationships at this moment
 
Sasa unafata kufanya nini kama umeamua kubeaga,hiyo ni dalili kuwa atakutesa maana hujiwezi,unabwa bado unaenda kufuata,kama huna ubavu udijaribu,utakonda,umeshatawaliwa wewe
 
Nilisimulia story ya mpenzi wangu anayependa kununa ovyo. Basi Leo naona nibwage manyanga kwenye penzi hili.

Tulikuwa vizuri tu na nilikuwa namjali sana tu. Ila mambo yameenda tunachat vizuri tunaongea ila usiku tulichat vizuri kesho yake nikawa namcheki lakin hajibu Wala hapokei simu. Jioni nikaenda kuonana naye, nikamuuliza shida ni Nini?

Akaniambia kuwa ni kwa sababu sikwenda kumuona Jana yake. Tukaongea yakaisha. Usiku tukapigiana simu tukaongea tukaagana vizuri. Kesho yake Tena ikawa hivyo hivyo. Hapokei Wala hajibu text. Sasa nimemfata Leo jion namuuliza tatizo lako ni Nini?

Anasema hataki kuongea na hajisikii kuongea na mimi. Ikabid niondoke. Ila kwa hapa naona nibwage tu manyanga maana hajibu Wala hapokei simu yangu. Kesho ntamfata nimuambie najua hanitaki Tena iwe ndo mwisho hatonisikia Tena. Wadau mnaona je maamuzi yangu?
Huna sababu ya kumfuata. Anajuwa akikununia unahangaika ba ndiyo maana anaendelea. Kaa utulie pitisha muda mrefu bila kuwasiliana naye. Kuhangaika kwako ndo kunampa kichwa kuendelea na ujinga wake. Kama umeamua kupiga chini, Bwana silently...
 
Na wewe mkaushie uone atafanyaje kama mbwai acha iwe mbwai lakini siyo kujitesa kiasi hicho Wanawake wapo wengi sana.
 
Very true, tukiweza kurekebisha hapo basi mahusiano mengi yatakua na afya na matokeo chanya.
Nadhani pia wanawake ni tofauti na sisi wanaume na kosa kubwa tunalofanya wanaume ni kujaribu kuwaelewa ninyi, kitu ambacho ni very far from being possible.
Kila mtu akijua position aliyonayo katika mahusiano itajenga kujiheshimu na kuheshimiana, na kuwa wawazi kama mahusiano hayawezekani tena.
 
Yes, nyie mkitupenda kwa dhati nasi tukiwaheshimu vema kama tunavyoagizwa kwenye vitabu vya dini then mahusiano/ndoa vitadumu
 
Nilisimulia story ya mpenzi wangu anayependa kununa ovyo. Basi Leo naona nibwage manyanga kwenye penzi hili.

Tulikuwa vizuri tu na nilikuwa namjali sana tu. Ila mambo yameenda tunachat vizuri tunaongea ila usiku tulichat vizuri kesho yake nikawa namcheki lakin hajibu Wala hapokei simu. Jioni nikaenda kuonana naye, nikamuuliza shida ni Nini?

Akaniambia kuwa ni kwa sababu sikwenda kumuona Jana yake. Tukaongea yakaisha. Usiku tukapigiana simu tukaongea tukaagana vizuri. Kesho yake Tena ikawa hivyo hivyo. Hapokei Wala hajibu text. Sasa nimemfata Leo jion namuuliza tatizo lako ni Nini?

Anasema hataki kuongea na hajisikii kuongea na mimi. Ikabid niondoke. Ila kwa hapa naona nibwage tu manyanga maana hajibu Wala hapokei simu yangu. Kesho ntamfata nimuambie najua hanitaki Tena iwe ndo mwisho hatonisikia Tena. Wadau mnaona je maamuzi yangu?
hilo jini kisiran umeliokotea wapi cjui. Anyway huyo anaonyesha hayuko tayr kuwa nawew ila kuna vitu anavipat kwako hivyo anaona akikueleza atavikosa.

Tatizo lingine lipo kwako kumuonyesha zaid unamuhtaj kuliko kuyahitaj maisha yako na kumnyenyekea zaid ukitaka uende nae sambasamba akinuna wew kausha ucimshtue wala kulalamika na hata huna haja ya kumfuata kwao wew endlea na mambo yako atakutafuta akiwa na shida
Siku atakayokutafuta wee umchane muelez huna hisia nae hivyo akatafute danga La kulichuna ukimwelez atajiliza ila usiendlee kumskilz kata sim halaf endlea na mishe zako.
 
Kusanya nguvu zote hata kama ni kwa kuomba mizimu ya ukoo na kabila lenu nawe ukae kimya uone. Usimwandikie text wala kumpigia simu kabisa kabisa.

Na hata gubu likija kumuisha akaandika au kukupigia simu jitahidi ukaushe tu halafu ulete mrejesho hapa. Huyu likely ana mtu mwingine au anajua jinsi unavyompenda na amejiaminisha kuwa ni lazima tu utamtafuta. Ukiuchuna na akajua kuwa she is replaceable na kwamba unaweza kumpiga chini ndo utaona hasa yukoje. Na akirudisha komwe lake tena weka msimamo wazi kuwa hupendi hilo gubu lake na uwe imara katika msimamo wako.

Kwa jinsi unavyozidi kumtafuta ndivyo unajishushia heshima na unazidi kujidhalilisha tu kwake; na kila wiki utakuwa unakuja humu kuanzisha nyuzi. Usipogangamara huyu atakusumbua sana!
Kweli broo maana wanawake wngine mapimbi kweli bado analeta uslay queen wakat hata pesa yakujihudumia hana Amalia shida tu. Mwanaume aonyesh uanaume wake uone kama hata jirekebisha
Wanawake tukijaliwa sana dharau zinakuwepo ila akitokea mtu asiejal ndio tunajifany kuumia na kutafuta ushaur kwa marafik
 
Huyo dada ana 20, Nina 28. Nishachoka tabia yake.
Huyo atakusumbua saana rafik. Tafuta mschan mweny ukomavu waakili mweny kuwaza mbali lakin kwa umri huo mwenzio anawaza kupendeza tu na out zisizo namaana
 
Ndio hivo brother, we usimtamkie maneno mabaya wala usitake kumkumbusha ni vitu gani ulifanya kwake asije akaona Kama unataka kulipwa, kuwa Gentleman na msifie mazuri yake na ajue utamkumbuka kwa yapi na ofcoz ulienjoy kwa muda wote mliotumia pamoja

ye pia ni mwanadamu anajua kuna mengi mazuri ulifanya kwa ajili yake na kuna matukio mlipitia na akapata furaha ata kama alikuwa hakupendi, so mfanye abakie na kumbukumbu ya busara zako ili yakimfika ya kumfika huko aendako au alipo maana kuna wajuba wanajua kuwaacha kwa manyanyaso wanawake hadi we mwanaume unajiskia vibaya

NB. Kwa namna alivo kutreat na maneno aliyokutamkia ni wazi kuwa huyo mwanamke Hana HISIA na wewe na hakupendi, kumbuka mwanamke anaweza ishi au kuolewa na mtu asiempenda na akamuigizia fresh tu, kwahiyo hatutaki uje ulete Tena uzi humu eti ohhh yule mwanamke amenifata anataka turudiane utakuwa MJINGA
Yah busara inahitajika sna. Kwani sio wanawake tu weny tabia hizo wapo na wanaume wenye kujinunisha hovyo.
Ili uachane kwa wema muandikia message yanamna ulivyofurah uwepo wake na hujutii kwa muda uliokuwa nae mambo mengi umejifunza kwake hivyo usisite kumtakia kila la kher uko aendako. Ukifanya hivi ataumia saana tu ila atajifany anakibur akidhan unatania
Hata akikutana nae asionyesh chuki yyt zaid yakumsalimia bac nakumpotezea
 
Nilisimulia story ya mpenzi wangu anayependa kununa ovyo. Basi Leo naona nibwage manyanga kwenye penzi hili.

Tulikuwa vizuri tu na nilikuwa namjali sana tu. Ila mambo yameenda tunachat vizuri tunaongea ila usiku tulichat vizuri kesho yake nikawa namcheki lakin hajibu Wala hapokei simu. Jioni nikaenda kuonana naye, nikamuuliza shida ni Nini?

Akaniambia kuwa ni kwa sababu sikwenda kumuona Jana yake. Tukaongea yakaisha. Usiku tukapigiana simu tukaongea tukaagana vizuri. Kesho yake Tena ikawa hivyo hivyo. Hapokei Wala hajibu text. Sasa nimemfata Leo jion namuuliza tatizo lako ni Nini?

Anasema hataki kuongea na hajisikii kuongea na mimi. Ikabid niondoke. Ila kwa hapa naona nibwage tu manyanga maana hajibu Wala hapokei simu yangu. Kesho ntamfata nimuambie najua hanitaki Tena iwe ndo mwisho hatonisikia Tena. Wadau mnaona je maamuzi yangu?
Sasa kesho unamfuata tena wa nini?? Nyamaza kimya na wewe
 
Mie huwa sijisumbui kuhangaika na vitoto vya umri huo! Nataka ma Ford Raptor ya 27-30 hapo ndio tunaenda sawa. Hivo videmu hasa kakiwa chuo katakuendesha kama gari bovu
Kutegemea na malez aliyolelewa huyo mwanamke sabb umri hauendesh maisha ila maisha yanaendeshwa na akili. Pia hakuna umri specific wakujitambua Bali mwanamke anakomaa kiakili kulingana na mambo aliyopitia kama historia ya familia yake, mambo ambayo ameshawah kumtokea yenye kumpa uchungu na kunyanyasika kipind akiwa mdogo. Hizo nisabab zinazopelekea mschana kuwahi kukomaa akili
 
Ford Raptor
Sema hiyo age mkuu inakuwa na ladha zaidi, na wanakuwa wameshatambua wanachokitaka. Hata kwenye show wanakuwaga vizuri sana.
Hivi vitoto visumbufu sana, halafu havijui hata kufinyia kwa ndani.
kumbe mkifinyiwa kwa ndani mnapata raha eehhh
 
Anasema hataki kuongea na hajisikii kuongea na mimi. Ikabid niondoke. Ila kwa hapa naona nibwage tu manyanga maana hajibu Wala hapokei simu yangu. Kesho ntamfata nimuambie najua hanitaki Tena iwe ndo mwisho hatonisikia Tena. Wadau mnaona je maamuzi yangu?

Kuwa kidume mkuu,,acha undezi...umfuate ili ukagundue nini?? kuna kitu unamdai au?

Kaa kwa kutulia,, endelea na shughuli za kujenga taifa...huyo kisirani hakupendi na huna la kumfanya zaidi ya kulialia..
Kubali hupendwi then endelea na maisha mengine mkuu.

Kama kitu ni chako,, kiache kiende...endapo kitarudi basi ujue ni chako,,, kisiporudi basi hakikupangwa kuwa chako,,na hata ukilazimisha bado kitaibiwa tena ilimradi yatimie maandiko.. - FidQ & tupac
 
Back
Top Bottom