Naona Part 2 ya Movie ya #Jubelee ft odm# ya Mwaka 2007 Soon itatoka

NYAMASHEKI

Member
Nov 17, 2017
20
11
Wakubwa hivi ili battle la Jubelee & NASA mbona kama consequences zake zitakuwa kubwa,,coz leo Wasemaji wa NASA nimewasikia wanasisitiza kinouma yaan,kwamba kesho Wanuaposha Rais wa Jmhr y Kenya na et Kenyatta n Rais wa Jubelee,,ngoja tusubirie hiyo kesho itakuwaje,,,
+++ nawasilisha mjadala++
 
Kenya wapinzani sio wa mchezo mchezo wakiamua wameamua na hyo kesho hapatokalika..... Ilitakiwa uhuru amuite odinga wayamalize ikiwezekana waitishe uchaguzi mpya au serikali ya mseto ila sio kuendelea na maisha ilihali taifa limegawanyika

Anyway Mungu awavushe salama kwenye kibarua cha kesho
 
Mkuu unajua maana ya dola ?
Majeshi yote yapo kwa rais Kenyata,alafu Odinga alisusa uchaguzi,yaani hapa kwetu kama uchaguzi wa marudio ya ubunge ya Songea,Koliondo.
Kwa naajabu chadema au cuf waseme eatakwenda bungeni kuapishwa,watake wasitake ni lazima waapishwe kuwa wabunge,maana wale waliochaguliwa ni wa ccm.hivyo mkuu kwako inaingia akilini ?
Anachotaka kufanya raila ni uhaini,na anataka kumalizia siku zake za mwisho gerezani.
 
Aiseee itabidi nirudi kwetu kogero nikaongeze nguvu inavoonekana ili saga alitaisha hivi hivi
 
Mkuu unajua maana ya dola ?
Majeshi yote yapo kwa rais Kenyata,alafu Odinga alisusa uchaguzi,yaani hapa kwetu kama uchaguzi wa marudio ya ubunge ya Songea,Koliondo.
Kwa naajabu chadema au cuf waseme eatakwenda bungeni kuapishwa,watake wasitake ni lazima waapishwe kuwa wabunge,maana wale waliochaguliwa ni wa ccm.hivyo mkuu kwako inaingia akilini ?
Anachotaka kufanya raila ni uhaini,na anataka kumalizia siku zake za mwisho gerezani.
Mkuu kenya ni tofauti na unavyofikiria hata hilo jeshi in case vita inatokea huwa linagawanyika kwa misingi ya kikabila usishangae hata wanajeshi ambao ni makabila ya waluhya wakamba wakisii na wajaluo wakaasi jeshi ili kuwasaidia NASA kuchukua dola hiyo ndio kenya nayoifaham

Kingine anachofanya Odinga najua ni kosa kubwa sana ila siwezi mlaumu sana sababu ni kweli kura aliibiwa ndio maana uchaguzi ukafutwa sasa alitaka tume ifanyiwe marekebisho ghafla tume ikalazimisha uchaguzi bila mabadiliko yoyote sasa ulitegemea ashiriki??? Si angeibiwa tena??

Sasa baada ya kuona wanampuuza ingawa najua hamaanishi kwamba anataka kuapishwa ila anataka tu kuwaonyesha nguvu ya watu alionao na ingawa kesi ya uhaini ni mbaya ila hawana ubavu wa kumfunga maana kenya haitokalika ni kma uganda besigye aliapishwa wakasema hukumu ya kesi ya uhaini ni kunyongwa ila nani mwenye ubavu wa kumnyonga besigye uganda?? Si nchi ingevurugika siku hiyo hiyo so ondoa shaka hafungwi mtu
 
Back
Top Bottom