Naona nguvu kubwa ambayo wenzangu wa CCM wanayoitumia kumnanga Lazaro Nyalandu

Hata sasa hakuna aliyejibu hoja za Nyalandu za kwanini kahama ccm, wote wamemshambulia binafsi badala ya kuja na hoja zilizojitosheleza kumpinga kile alichosema

Unachokiona sio mashambulizi bali ni ufukuaji wa maovu yake ambayo yanajulikana.
 
Anaandika kada wa CCM Mansour Jumanne,
LEO JPM ATAMFUKUZA HUYU CCM

"Naona nguvu kubwa ambayo wenzangu wa CCM wanayoitumia kumnanga Lazaro Nyalandu.

Naona namna ambavyo rafiki zangu akina Muro ,Polepole,na makada wengine wa ccm wakifukua nyaraka za nyuma na tuhuma za Ufisadi dhidi ya Nyalandu

Binafsi uwa naangalia mambo kwa jicho la Social Ethics na hapa uwa naangalia Dentelogical, Teleological na Situational Ethics, kwa maana ya Empacts ,Final results na Situation .Je kwanini Nyalandu amehama ? Ingekuwaje Nyalandu angebaki ccm? Matokeo ya nyalandu kiacha chama tawala yatakuwa ni yapi?

Sasa kwa kuzingatia misingi hii lazima uzame kwenye Critical thinking ,ili uwaze zaidi na kuwazua na hapa utakutana na Logic,Reasoning nk na hapa ndio unapata nafasi ya kujiuliza mambo mengi ,maswali mengi nk mfano

1.Mwaka 2015 nani alimpitisha Nyalandu kwenye kura za maoni?

2.Kama Nyalandu alikuwa na shida kwanini hakukatwa ?

3.Je rais Rais Magufuli alimnadi Nyalandu 2015?

4.Je Nyalandu kuna kipindi wabunge waliwahi kupinga bajeti kwa ajili ya wizara aliyowahi kuifanyia kazi?

5.Baada ya Rais Magufuli kupata Urais alianza kusafisha Chama je Nyalandu aliwahi kufukuzwa?

6.Je Nyalandu amewahi kutuhumiwa na Chama cha mapinduzi kwenye Kashfa yoyote?

7.Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?

Sasa baada ya Chritical Thinking lazima tuingie kwenye Fallacy na hapa ndipo fallacy inachukua nafasi ,je kama Lazaro ni mwizi na alikuwa ccm na hawakumfanya kitu kwahiyo je CCM wote ni WEZI?kama Nyalandu alikuwa CCM na Nyalandu wanasema ni fisadi kwaiyo ccm wote ni Mafisadi? Hii ndio fallacy jumuishi inavyotuhukumu.

Ila baada ya Fallacy lazime twende kuitimisha sasa kwa kujipima katika theory zetu na hapa ndipo BULLET THEORY Ufanya kazi zaidi hasa kwa kuassume kuwa Watu hawajui lolote,ni mafala ni mataila,ni mazwazwa ,ni malofa sasa je kupitia theory hii Issue ya kuhama kwa Nyalandu CCM tunavyomshambulia wakati alikuwa kwetu tunataka kuaminisha Dunia kuwa watanzania ni mafala ,mataila,mazwazwa,malofa,mambumbu kwa mujibu bullet theory?

Ndugu zangu kwa sasa lazima CCM tubaki basi maana yake turejeshe majeshi nyuma na kujipanga upya alafu tuje tena na hoja nzito dhidi ya tuhuma alizotoa Nyalandu dhidi ya Chama chetu .

Wasalaam,
Mansour Jumanne,
The Watcher.
niliona nguvu kubwa ya uchaguzi 2015,sasa naiona zaidi ya 2020
namnukuu prof j
mwambieni mfalme wenu seat yangu aifute vumbi
 
You are closer to the truth than many.
 
Watanzania daini katiba mpya ccm itoke vinginevyo mtapata tabu sana
 
Dah! Napata shida sana ninaposoma maoni ya wasomi wa Kitanzania. Kwa taarifa yako Zitto siyo mwanataaluma kama unavyotaka kutuaminisha. Zitto ni Mwanasiasa na kama hajui hilo, imekula kwake.

Ili kauli iwe ya kitaaluma, ni lazima itolewe katika eneo la Kitaaluma na kwa wanataaluma. Je, Zitto alikuwa akiwasilisha mada au kutoa mhadhara katika Chuo gani?

Acheni hizo. Mmedekezwa sana na hamtaki kukubali kuwa mmekuwa watu wazima sasa.
"Hoja ya kitaaluma" ripoti ya benki kuu kuhusu mwenendo wa uchumi wa nchi katika robo ya mwaka.
Hiki ndicho zito alikuwa anajadiri akilinganisha na ripoti ya TRA. Ok maoni ya zito sio sahihi,je wako wapi hao wasomi wetu waje na uchambuzi wa kina ili tuone kuwa hoja za zito hazina mashiko?
HOja hupingwa na hoja kama kapotosha tujue.
 
Anaandika kada wa CCM Mansour Jumanne,
LEO JPM ATAMFUKUZA HUYU CCM

"Naona nguvu kubwa ambayo wenzangu wa CCM wanayoitumia kumnanga Lazaro Nyalandu.

Naona namna ambavyo rafiki zangu akina Muro ,Polepole,na makada wengine wa ccm wakifukua nyaraka za nyuma na tuhuma za Ufisadi dhidi ya Nyalandu

Binafsi uwa naangalia mambo kwa jicho la Social Ethics na hapa uwa naangalia Dentelogical, Teleological na Situational Ethics, kwa maana ya Empacts ,Final results na Situation .Je kwanini Nyalandu amehama ? Ingekuwaje Nyalandu angebaki ccm? Matokeo ya nyalandu kiacha chama tawala yatakuwa ni yapi?

Sasa kwa kuzingatia misingi hii lazima uzame kwenye Critical thinking ,ili uwaze zaidi na kuwazua na hapa utakutana na Logic,Reasoning nk na hapa ndio unapata nafasi ya kujiuliza mambo mengi ,maswali mengi nk mfano

1.Mwaka 2015 nani alimpitisha Nyalandu kwenye kura za maoni?

2.Kama Nyalandu alikuwa na shida kwanini hakukatwa ?

3.Je rais Rais Magufuli alimnadi Nyalandu 2015?

4.Je Nyalandu kuna kipindi wabunge waliwahi kupinga bajeti kwa ajili ya wizara aliyowahi kuifanyia kazi?

5.Baada ya Rais Magufuli kupata Urais alianza kusafisha Chama je Nyalandu aliwahi kufukuzwa?

6.Je Nyalandu amewahi kutuhumiwa na Chama cha mapinduzi kwenye Kashfa yoyote?

7.Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?

Sasa baada ya Chritical Thinking lazima tuingie kwenye Fallacy na hapa ndipo fallacy inachukua nafasi ,je kama Lazaro ni mwizi na alikuwa ccm na hawakumfanya kitu kwahiyo je CCM wote ni WEZI?kama Nyalandu alikuwa CCM na Nyalandu wanasema ni fisadi kwaiyo ccm wote ni Mafisadi? Hii ndio fallacy jumuishi inavyotuhukumu.

Ila baada ya Fallacy lazime twende kuitimisha sasa kwa kujipima katika theory zetu na hapa ndipo BULLET THEORY Ufanya kazi zaidi hasa kwa kuassume kuwa Watu hawajui lolote,ni mafala ni mataila,ni mazwazwa ,ni malofa sasa je kupitia theory hii Issue ya kuhama kwa Nyalandu CCM tunavyomshambulia wakati alikuwa kwetu tunataka kuaminisha Dunia kuwa watanzania ni mafala ,mataila,mazwazwa,malofa,mambumbu kwa mujibu bullet theory?

Ndugu zangu kwa sasa lazima CCM tubaki basi maana yake turejeshe majeshi nyuma na kujipanga upya alafu tuje tena na hoja nzito dhidi ya tuhuma alizotoa Nyalandu dhidi ya Chama chetu .

Wasalaam,
Mansour Jumanne,
The Watcher.
Safi mtoa maada ,jf ni zaidi ya elimu .
 
Ccm hawana hoja za msingi sema,sisi wa tz wanatuona malofa.hicho tu
 
"Hoja ya kitaaluma" ripoti ya benki kuu kuhusu mwenendo wa uchumi wa nchi katika robo ya mwaka.
Hiki ndicho zito alikuwa anajadiri akilinganisha na ripoti ya TRA. Ok maoni ya zito sio sahihi,je wako wapi hao wasomi wetu waje na uchambuzi wa kina ili tuone kuwa hoja za zito hazina mashiko?
HOja hupingwa na hoja kama kapotosha tujue.

Nilikuwa najibu hoja kuwa kilichosemwa na Zitto ni academical statement. Umeongeza kusema kuwa alikuwa akijadili taarifa ya Benki Kuu. Hapo unazidi kuchanganya mambo.

Ok, tukubali kuwa alikuwa akijadili ripoti ya benki Kuu. Je, sehemu alikokuwa akijadilia, ni sehemu sahihi?

Doing the right thing at the wrong place, is an offence.
 
CCM wamevuliwa nguo badala ya kuchutama ili wafiche aibu ya uchi wao , Wao wameamua kumkimbiza aliye chukuwa nguo zao wakiwa uchi ili watu wawaone vizuri, poleni sana nawashauri mchutame.
 
Anaandika kada wa CCM Mansour Jumanne,
LEO JPM ATAMFUKUZA HUYU CCM

"Naona nguvu kubwa ambayo wenzangu wa CCM wanayoitumia kumnanga Lazaro Nyalandu.

Naona namna ambavyo rafiki zangu akina Muro ,Polepole,na makada wengine wa ccm wakifukua nyaraka za nyuma na tuhuma za Ufisadi dhidi ya Nyalandu

Binafsi uwa naangalia mambo kwa jicho la Social Ethics na hapa uwa naangalia Dentelogical, Teleological na Situational Ethics, kwa maana ya Empacts ,Final results na Situation .Je kwanini Nyalandu amehama ? Ingekuwaje Nyalandu angebaki ccm? Matokeo ya nyalandu kiacha chama tawala yatakuwa ni yapi?

Sasa kwa kuzingatia misingi hii lazima uzame kwenye Critical thinking ,ili uwaze zaidi na kuwazua na hapa utakutana na Logic,Reasoning nk na hapa ndio unapata nafasi ya kujiuliza mambo mengi ,maswali mengi nk mfano

1.Mwaka 2015 nani alimpitisha Nyalandu kwenye kura za maoni?

2.Kama Nyalandu alikuwa na shida kwanini hakukatwa ?

3.Je rais Rais Magufuli alimnadi Nyalandu 2015?

4.Je Nyalandu kuna kipindi wabunge waliwahi kupinga bajeti kwa ajili ya wizara aliyowahi kuifanyia kazi?

5.Baada ya Rais Magufuli kupata Urais alianza kusafisha Chama je Nyalandu aliwahi kufukuzwa?

6.Je Nyalandu amewahi kutuhumiwa na Chama cha mapinduzi kwenye Kashfa yoyote?

7.Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?

Sasa baada ya Chritical Thinking lazima tuingie kwenye Fallacy na hapa ndipo fallacy inachukua nafasi ,je kama Lazaro ni mwizi na alikuwa ccm na hawakumfanya kitu kwahiyo je CCM wote ni WEZI?kama Nyalandu alikuwa CCM na Nyalandu wanasema ni fisadi kwaiyo ccm wote ni Mafisadi? Hii ndio fallacy jumuishi inavyotuhukumu.

Ila baada ya Fallacy lazime twende kuitimisha sasa kwa kujipima katika theory zetu na hapa ndipo BULLET THEORY Ufanya kazi zaidi hasa kwa kuassume kuwa Watu hawajui lolote,ni mafala ni mataila,ni mazwazwa ,ni malofa sasa je kupitia theory hii Issue ya kuhama kwa Nyalandu CCM tunavyomshambulia wakati alikuwa kwetu tunataka kuaminisha Dunia kuwa watanzania ni mafala ,mataila,mazwazwa,malofa,mambumbu kwa mujibu bullet theory?

Ndugu zangu kwa sasa lazima CCM tubaki basi maana yake turejeshe majeshi nyuma na kujipanga upya alafu tuje tena na hoja nzito dhidi ya tuhuma alizotoa Nyalandu dhidi ya Chama chetu .

Wasalaam,
Mansour Jumanne,
The Watcher.

Muro, Pole pole, Mkonda, Wakuu wa mikoa wote, mbumbumbu wote wa Lumumba; kamwe hawataweza kujibu kitu hapa!! Tuzungumze kwa logic na tujikite kwenye hoja iliyopo mezani, CCM ni mfu anaetembea!! Makonda akihama chama leo, watasema aende kwanza hana vyeti!!! Hao ndo CCM bana.

Watendaji wote kwenye idara za serikali nao ni magoigoi kabisa, eti wanachoma vifaranga elfu sita na usheee, kisa vimeingzwa nchini kimakosa. This is a complex kind of madness.
 
CCM hajawahi HADHARANI kumtuhumu mtu mwanachama wake yeyote kuwa ni fisadi. Siyo lowasa, siyo Nyalandu. Kinyume chake, chadema ndo wamekuwa wataalamu wa kurusha hizo tuhuma. Sasa inapotokea huyo mtuhumiwa akihamia chadema, ndipo CCM huwakumbusha chadema juu ya maovu yote waliyowahi kumtuhumu huyo mwanachama wao mpya. Narudia, CCM huwa inawakumbusha tu chadema tuhuma walizowahi kuzitoa. Hapo sasa linakuwa ni jukumu la chadema kumsafisha mwanachama wao mpya. Kwa hiyo tusinyamazishane! Wenye dodoki haya, wenye oil chafu twende kazi.
Hahahahaha siasa bana, kwahiyo ngoma droo
 
Aliyeuza nyumba za serikali akajigawia nyumba kibao kienyeji na zingine kugawa kwa hawala na mdogo wake kinyume cha sheria yupo ikulu, kivuko cha mwaka 1978 alinunua kwa bilion 8 akatafuna bilion 251 wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa hakuna aliyemuuliza hadi leo? Ununuzi wa ndege ujenzi wa Reli na chato Airport wanakula 10% ni nani wa kuwauliza?
Hahahahaha nasikia makabrasha na bahasha za hati za nyumba alizitia kwapani akasepa nazo
 
Ameanza mwenyewe kuwananga..mbona wakati anatoa matamko na kutoa Huduma kwa kina lissu hakuna aliyemnanga na wote walijua anaondoka..sasa maneno yake ya mwisho ndio yamemponza
Je Nyalandu amewahi kutuhumiwa na Chama cha mapinduzi kwenye Kashfa yoyote?
 
Mimi nimesoma kwamba kafukuzwa huko CCM. Na bunge limemtema pia..
Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?

Umeandika matapishi tupu kama mtu alietoka kula kiti moto. Hakuna hata cha kuelewa kwenye bandiko zima ukiacha uzwazwa wako wa kwenye mqhojiano na star tv. Sijui huwa wanakualika kwa nini
Hapana sio hivyo,bali ni Chama Cha Mapinduzi.Tutake radhi tafadhali....utakuwa umeonesha uungwana wako.
Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?
 
Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?

Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?

Kila kitu kina wakati wake.. umeona mtu anatanua kama zamani.. heshima mbele wanatetemeka tu..

Siku nyingine husiandike upupwu unatia aibu mapaparazi wenzio.. ndio maana hamnaga jipya. Mwakyembe kawaambia mjiongeze mkasome tena
 
Pombe alivyosema wazungu wa Acacia ni wanaume kweli-kweli alimaanisha wanawake ndiyo uvccm??
 
Ujinga wa kuwaza kabisa yani nisiwe huru kusema sababu za maamzi yang mapya? Kila jambo analoamua Mtu linakuwa na sababu zake
 
Back
Top Bottom