Naona nguvu kubwa ambayo wenzangu wa CCM wanayoitumia kumnanga Lazaro Nyalandu

Wakati wanyama wanabebwa yeye hakuwa waziri!!
Je Nyalandu kuna kipindi wabunge waliwahi kupinga bajeti kwa ajili ya wizara aliyowahi kuifanyia kazi?

5.Baada ya Rais Magufuli kupata Urais alianza kusafisha Chama je Nyalandu aliwahi kufukuzwa?

Udhalimu upi huo?
Kuiondoa CCM bila kujua atachukua nani itakuwa utaahira mkubwa. Wanasiasa wenyewe wanaoharibu ndio wanacheza kila upande...bora zimwi likujualo. Halikuli ukakwisha.

Wapinzani nadiriki kusema bado sana...they think they can survive by eating left overs!! Hakunaga hicho kitu.
Tuhuma zote za Nyalandu zilianzishwa na CHADEMA. Hakuna hata siku moja CCM walimuanzishia tuhuma Mh. Nyalandu. Kinachoshamgaza ni ujasiri wa Nyalandu kuhamia chama kilichomtuhumu kwa nguvu nyingi na kumnyang'anya tonge mdomoni akiwa waziri na hivyo kuiokoa serikali na nchi kupoteza mapato kibao. Na pia inashtua kuona CHADEMA kumpokea bila kukanusha kuwa tuhuma walizoanzisha kuhusu Nyalandu zilikuwa fake yaani feki
 
Anaandika kada wa CCM Mansour Jumanne,
LEO JPM ATAMFUKUZA HUYU CCM

"Naona nguvu kubwa ambayo wenzangu wa CCM wanayoitumia kumnanga Lazaro Nyalandu.

Naona namna ambavyo rafiki zangu akina Muro ,Polepole,na makada wengine wa ccm wakifukua nyaraka za nyuma na tuhuma za Ufisadi dhidi ya Nyalandu

Binafsi uwa naangalia mambo kwa jicho la Social Ethics na hapa uwa naangalia Dentelogical, Teleological na Situational Ethics, kwa maana ya Empacts ,Final results na Situation .Je kwanini Nyalandu amehama ? Ingekuwaje Nyalandu angebaki ccm? Matokeo ya nyalandu kiacha chama tawala yatakuwa ni yapi?

Sasa kwa kuzingatia misingi hii lazima uzame kwenye Critical thinking ,ili uwaze zaidi na kuwazua na hapa utakutana na Logic,Reasoning nk na hapa ndio unapata nafasi ya kujiuliza mambo mengi ,maswali mengi nk mfano

1.Mwaka 2015 nani alimpitisha Nyalandu kwenye kura za maoni?

2.Kama Nyalandu alikuwa na shida kwanini hakukatwa ?

3.Je rais Rais Magufuli alimnadi Nyalandu 2015?

4.Je Nyalandu kuna kipindi wabunge waliwahi kupinga bajeti kwa ajili ya wizara aliyowahi kuifanyia kazi?

5.Baada ya Rais Magufuli kupata Urais alianza kusafisha Chama je Nyalandu aliwahi kufukuzwa?

6.Je Nyalandu amewahi kutuhumiwa na Chama cha mapinduzi kwenye Kashfa yoyote?

7.Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?

Sasa baada ya Chritical Thinking lazima tuingie kwenye Fallacy na hapa ndipo fallacy inachukua nafasi ,je kama Lazaro ni mwizi na alikuwa ccm na hawakumfanya kitu kwahiyo je CCM wote ni WEZI?kama Nyalandu alikuwa CCM na Nyalandu wanasema ni fisadi kwaiyo ccm wote ni Mafisadi? Hii ndio fallacy jumuishi inavyotuhukumu.

Ila baada ya Fallacy lazime twende kuitimisha sasa kwa kujipima katika theory zetu na hapa ndipo BULLET THEORY Ufanya kazi zaidi hasa kwa kuassume kuwa Watu hawajui lolote,ni mafala ni mataila,ni mazwazwa ,ni malofa sasa je kupitia theory hii Issue ya kuhama kwa Nyalandu CCM tunavyomshambulia wakati alikuwa kwetu tunataka kuaminisha Dunia kuwa watanzania ni mafala ,mataila,mazwazwa,malofa,mambumbu kwa mujibu bullet theory?

Ndugu zangu kwa sasa lazima CCM tubaki basi maana yake turejeshe majeshi nyuma na kujipanga upya alafu tuje tena na hoja nzito dhidi ya tuhuma alizotoa Nyalandu dhidi ya Chama chetu .

Wasalaam,
Mansour Jumanne,
The Watcher.

Chadema wanaongea sna kuhusu CCM Hata Rais. Akiteua mtunza Stoo mtaleta uzi hapa Wa cv na kupinga nk. Mradi lazima muwe kinyume na Mkuu. Watanzania wnafiki snaa. Hizi ID fake Ndo maisha ya watanzania. Kama CCM inamzunguzia nyalandu. Yeye ndo kaweka base. Kahama chama lakini kwanza kakiponda. Na hata wewe uliyeandika liuzi refu hapa kama Sio pungasese unaelewa kabisa ukweli na pumba za Mambo ya siasa. Nobody ni saint na wala hatutegemei. Lakini hizi contradictions per se za wadau wa Chadema ni top much. Afu manakuja hapa wakavu. Eti CCM. Who started. Yeye amejenga. Lakini Bosi wewe Embu kuwa mwanamume basi Pendeln ukweli kuwa mkweli hapa JF Sio sehemu ya Umbeya.
 
CCM hajawahi HADHARANI kumtuhumu mtu mwanachama wake yeyote kuwa ni fisadi. Siyo lowasa, siyo Nyalandu. Kinyume chake, chadema ndo wamekuwa wataalamu wa kurusha hizo tuhuma. Sasa inapotokea huyo mtuhumiwa akihamia chadema, ndipo CCM huwakumbusha chadema juu ya maovu yote waliyowahi kumtuhumu huyo mwanachama wao mpya. Narudia, CCM huwa inawakumbusha tu chadema tuhuma walizowahi kuzitoa. Hapo sasa linakuwa ni jukumu la chadema kumsafisha mwanachama wao mpya. Kwa hiyo tusinyamazishane! Wenye dodoki haya, wenye oil chafu twende kazi.

Africa na visasi kama samaki na maji. Hatutakaa tuendelee hata siku moja,nchi ya mihemko sana hii.
 
Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?
Hata huyo chenge unaemtaja akihamia chadema mtasema wanasingiziwa ila ni jembe au dume kama mnavomuita mwizi nyarandu ...pindi akiwa CCM mlimuita waziri mzigo na mwizi kauza twiga wetu Leo dume limfika hahahaha chaedema mnachekesha kweli ndo maana haaminiki tena...
 
ccm mnalea mafisadi na majambazi?
 
CCM hakuna msafi hata mmoja wote wapigaji,matumbo yao yamejaa rushwa hata kingunge alisema 2015,kua ccm hakuna aliemsafi wote rangi ya kaniki
 
Aliyeuza nyumba za serikali akajigawia nyumba kibao kienyeji na zingine kugawa kwa hawala na mdogo wake kinyume cha sheria yupo ikulu, kivuko cha mwaka 1978 alinunua kwa bilion 8 akatafuna bilion 251 wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa hakuna aliyemuuliza hadi leo? Ununuzi wa ndege ujenzi wa Reli na chato Airport wanakula 10% ni nani wa kuwauliza?
hata huyu mnamtukana kwasababu yupo CCM akihamia chadema mtamsafisha Kwa kila aina ya dodoki safi siasa zenu zinakinaisha sana
 
Anaandika kada wa CCM Mansour Jumanne,
LEO JPM ATAMFUKUZA HUYU CCM

"Naona nguvu kubwa ambayo wenzangu wa CCM wanayoitumia kumnanga Lazaro Nyalandu.

Naona namna ambavyo rafiki zangu akina Muro ,Polepole,na makada wengine wa ccm wakifukua nyaraka za nyuma na tuhuma za Ufisadi dhidi ya Nyalandu

Binafsi uwa naangalia mambo kwa jicho la Social Ethics na hapa uwa naangalia Dentelogical, Teleological na Situational Ethics, kwa maana ya Empacts ,Final results na Situation .Je kwanini Nyalandu amehama ? Ingekuwaje Nyalandu angebaki ccm? Matokeo ya nyalandu kiacha chama tawala yatakuwa ni yapi?

Sasa kwa kuzingatia misingi hii lazima uzame kwenye Critical thinking ,ili uwaze zaidi na kuwazua na hapa utakutana na Logic,Reasoning nk na hapa ndio unapata nafasi ya kujiuliza mambo mengi ,maswali mengi nk mfano

1.Mwaka 2015 nani alimpitisha Nyalandu kwenye kura za maoni?

2.Kama Nyalandu alikuwa na shida kwanini hakukatwa ?

3.Je rais Rais Magufuli alimnadi Nyalandu 2015?

4.Je Nyalandu kuna kipindi wabunge waliwahi kupinga bajeti kwa ajili ya wizara aliyowahi kuifanyia kazi?

5.Baada ya Rais Magufuli kupata Urais alianza kusafisha Chama je Nyalandu aliwahi kufukuzwa?

6.Je Nyalandu amewahi kutuhumiwa na Chama cha mapinduzi kwenye Kashfa yoyote?

7.Je kama Nyalandu leo anaonekana ni mwizi au fisadi licha ya kuwa hakuna vithibitisho ,vipi akina ngereja,Chenge,akina Muhongo si wako ccm wameishafukuzwa au kuchukuliwa hatua yoyote,?

Sasa baada ya Chritical Thinking lazima tuingie kwenye Fallacy na hapa ndipo fallacy inachukua nafasi ,je kama Lazaro ni mwizi na alikuwa ccm na hawakumfanya kitu kwahiyo je CCM wote ni WEZI?kama Nyalandu alikuwa CCM na Nyalandu wanasema ni fisadi kwaiyo ccm wote ni Mafisadi? Hii ndio fallacy jumuishi inavyotuhukumu.

Ila baada ya Fallacy lazime twende kuitimisha sasa kwa kujipima katika theory zetu na hapa ndipo BULLET THEORY Ufanya kazi zaidi hasa kwa kuassume kuwa Watu hawajui lolote,ni mafala ni mataila,ni mazwazwa ,ni malofa sasa je kupitia theory hii Issue ya kuhama kwa Nyalandu CCM tunavyomshambulia wakati alikuwa kwetu tunataka kuaminisha Dunia kuwa watanzania ni mafala ,mataila,mazwazwa,malofa,mambumbu kwa mujibu bullet theory?

Ndugu zangu kwa sasa lazima CCM tubaki basi maana yake turejeshe majeshi nyuma na kujipanga upya alafu tuje tena na hoja nzito dhidi ya tuhuma alizotoa Nyalandu dhidi ya Chama chetu .

Wasalaam,
Mansour Jumanne,
The Watcher.
Kamuulize mhe Nasari kwanza nguvu aliyoitumia kumnanga bungeni ilikuwa ya nini?
 
Tuhuma zote za Nyalandu zilianzishwa na CHADEMA. Hakuna hata siku moja CCM walimuanzishia tuhuma Mh. Nyalandu. Kinachoshamgaza ni ujasiri wa Nyalandu kuhamia chama kilichomtuhumu kwa nguvu nyingi na kumnyang'anya tonge mdomoni akiwa waziri na hivyo kuiokoa serikali na nchi kupoteza mapato kibao. Na pia inashtua kuona CHADEMA kumpokea bila kukanusha kuwa tuhuma walizoanzisha kuhusu Nyalandu zilikuwa fake yaani feki
jibu jepesi mkuu UNAFIKI TU..wapo tayari kumsingizia mtu uongo ili tu waingie Ikulu au wapate kiki ya kisiasa ...basi CCM hakuna mafisadi kama walivomuwa wanahubiri miaka yooote mana akihamia chadema wanaanza kukusafisha...kumbuka Lowassa waliyimia miaka 8 kumchafua Leo hii ni kiongozi wao
 
Hakika sipati jibu hii Falsafa ya CCM ya kuwa MSAFI ukiwa ndani ya CCM lakini Ukitoka tu CCM WEWE utaitwa majina yote kama vile Mwizi,Fisadi,Jambazi n.k.
 
Falsafa ya CCM ya kuwa MSAFI ukiwa ndani ya CCM lakini Ukitoka tu CCM WEWE utaitwa majina yote kama vile Mwizi,Fisadi,Jambazi
And Vice Versa- Falsafa ya CHADEMA ya kuwa MHALIFU ukiwa ndani ya CCM lakini Ukitoka tu CCM WEWE ni MTAKATIFU kindly refer- LOWASA, SUMAYE,NYARANDU just to mention a few!
 
Chadema tafuteni madudu ya waziri hata ya nguoni na maCCM wote...mkifanya hivyo 2020 wataufyata
 
Back
Top Bottom