Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana
Na walioko kule Wengi Wako brainwashed MkuuKule ndo kuna pesa za uhakika na hazina kodi wala ushuru.
HeheheSasa Hivi ukijua kuongea tu basi wewe mchungaji. Ngoja na mm nifungue kanisa
Hawa jamaa hawachoki kumtania Mungu tu? Anyways who am i to judge.Wakuu naona Siku Hizi MC Pilipili naye Amekuwa Mchungaji Kama Alivyo Masanja Mkandamizaji, Ministry Yake Inaitwa Wonders Sunday Service, lipo Mbezi Beach Africana
View attachment 1802517
Ameshapata mtaalam wa kutupia miujiza kama bulldozer