Naona Mashinji yupo tena leo azam two akijibu hoja,

Hivi Mbowe alimtolea wapi huyu kamanda Mashinje?
Huyu alikuwa Architecture wa Mgomo wa Madaktari wakat wa jk na Dr Ulimboka akafanywa Kiongozi wa Mgomo
Huyu alifaa sana wakat wa jk kwa kuwa Chadema kiliwekeza kwny Migomo Siku hizi wamewekeza kwny tweeter na clip za kwny wasap ndio sababu Katibu Kapwaya
 
Dah...sasa kama jamaa na Phd ya maandamano mbona Operesheni UKUTA iligonga ukuta?
 
Huyu alikuwa Architecture wa Mgomo wa Madaktari wakat wa jk na Dr Ulimboka akafanywa Kiongozi wa Mgomo
Huyu alifaa sana wakat wa jk kwa kuwa Chadema kiliwekeza kwny Migomo Siku hizi wamewekeza kwny tweeter na clip za kwny wasap ndio sababu Katibu Kapwaya
Mbowe ndio anawapenda viongozi kama Mashinji ili akitafuna ruzuku asiulizwe
 
Hivi mnaomkandya Mashinji huwa mnasikiliza hoja kwanza au mnacomment jf kwa mazoea, nimemskiliza Mashinji yuko vizuri sana hana sauti ya kupayuka amejaa point zilizoenda shule.
Tulijitawala ili tuweke viongozi tunaowataka, leo tumerudi kuwekewa viongozi, Wanaonunua wapinzani kwa mawazo ya kudhofisha upinzani wanajidanganya wanachokidhofisha ni uchumi wa Taifa, mbinu hizo hata KANU walizitumia sasa wako wapi.
 
Huyu alikuwa Architecture wa Mgomo wa Madaktari wakat wa jk na Dr Ulimboka akafanywa Kiongozi wa Mgomo
Huyu alifaa sana wakat wa jk kwa kuwa Chadema kiliwekeza kwny Migomo Siku hizi wamewekeza kwny tweeter na clip za kwny wasap ndio sababu Katibu Kapwaya
We una kitu gani cha ajabu
Ungepewa ubunge viti maalum,udc etc
Basi,

Ova
 
Back
Top Bottom