Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,699
- 1,455
ZUNGU haoni haya madubwasha anawaza pesa zetu za simu tuInatakiwa kwenye kila mchezo serikali ipate 18% pia mtu akishinda akatwe Kodi, mbona hayo hayafuatwi?

Kuna haja ya kufungwa mfumo wa risiti hayo mavitu, na Kodi ikusanywe kwa mfumo wa EFD receipt.Kamari ina uraibu.
Kuna dada hua anakuja atapaki gari lake kisha atachill na hilo ishu hata masaa mawili.
Kisha kuna mjeshi hua akija anapiga stop woooote kucheza analicheza yeye tu akimaliza anaondoka zake.
Kuna jamaa young tu kupoteza 50K au 60K kwenye hiyo mashine kila baada ya siku mbili au nne ni kawaida. Na kila akiondoka anasema sichezi tena jana kaongea kiingereza 'I swear am not going to play this bonanza again'
Kuna mama ni muuza chakula kwenye toroli. Kila usiku lazima afike hapa na kuanza kulishughulikia hili dude, anasema hili ni bonanza lake la mwisho akiliwa huko koooote ndiyo anamalizia hapa.
Kuna couple hua mke anakuja hapa na mume anaenda bonanza la bondeni huko kila mmoja anaenda kulishughulikia hili ishu.
Katika kitu nimededuce ni kwamba watu wengi wanaocheza hili dude hua hawachezi ili wale ila wanaenjoy tu ile excitement ya kusubiria kuona kama wamepatia kitu ama la.
Eish nimemsahau na muha mmoja hua anakuja anaweka vyombo vyake chini anaingia arena.
Halafu guess what? Mimi ninayewapa hizo 200 hata sijui jinsi ya kulicheza.
Kama ni hela za noti, wanakua na silva nyingi hapo hapo unazibadilisha unachukua silva unaanza kudondosha moja moja kwa mashine.KUPANGA NI KUCHAGUA MKUU.HIZO COIN ALIKUJA NAZO KWENYE BEGI AU?
Hizo mashine kumbe zinabebeka kirahisiWamesahau tu kukuomba picha,huyo hapo....View attachment 1758876
Counter wanakuwa wameshaandaa chenji, ukitaka ‘coin’ hata za milioni unapewa, unatoa noti unapewa sarafuKUPANGA NI KUCHAGUA MKUU.HIZO COIN ALIKUJA NAZO KWENYE BEGI AU?
Kwamba nyumba siyo yangu basi ninyamaze nikiiona inaungua?Tafuta ela mkuu wanaume uwa atuko ivyo fanya yako yanayo kuhusu mbona unayo mengi.
Ni Arosto ya Kamari inawasumbua, huwezi sema ni excitement, wako hooked!Kamari ina uraibu.
Kuna dada hua anakuja atapaki gari lake kisha atachill na hilo ishu hata masaa mawili.
Kisha kuna mjeshi hua akija anapiga stop woooote kucheza analicheza yeye tu akimaliza anaondoka zake.
Kuna jamaa young tu kupoteza 50K au 60K kwenye hiyo mashine kila baada ya siku mbili au nne ni kawaida. Na kila akiondoka anasema sichezi tena jana kaongea kiingereza 'I swear am not going to play this bonanza again'
Kuna mama ni muuza chakula kwenye toroli. Kila usiku lazima afike hapa na kuanza kulishughulikia hili dude, anasema hili ni bonanza lake la mwisho akiliwa huko koooote ndiyo anamalizia hapa.
Kuna couple hua mke anakuja hapa na mume anaenda bonanza la bondeni huko kila mmoja anaenda kulishughulikia hili ishu.
Katika kitu nimededuce ni kwamba watu wengi wanaocheza hili dude hua hawachezi ili wale ila wanaenjoy tu ile excitement ya kusubiria kuona kama wamepatia kitu ama la.
Eish nimemsahau na muha mmoja hua anakuja anaweka vyombo vyake chini anaingia arena.
Halafu guess what? Mimi ninayewapa hizo 200 hata sijui jinsi ya kulicheza.
Wazo la sukari sana hili, ikiingia coin kuwe na electronic counter, pesa ikitoka pia ipunguzwe kwenye balance electonically, ikifika saa sita usiku inafunga hesabu ya siku na kujua dude limeingiza kiasi gani, na kodi inakatwa automatically kwenye system.Kuna haja ya kufungwa mfumo wa risiti hayo mavitu, na Kodi ikusanywe kwa mfumo wa EFD receipt.
Kamari ina uraibu.
Kuna dada hua anakuja atapaki gari lake kisha atachill na hilo ishu hata masaa mawili.
Kisha kuna mjeshi hua akija anapiga stop woooote kucheza analicheza yeye tu akimaliza anaondoka zake.
Kuna jamaa young tu kupoteza 50K au 60K kwenye hiyo mashine kila baada ya siku mbili au nne ni kawaida. Na kila akiondoka anasema sichezi tena jana kaongea kiingereza 'I swear am not going to play this bonanza again'
Kuna mama ni muuza chakula kwenye toroli. Kila usiku lazima afike hapa na kuanza kulishughulikia hili dude, anasema hili ni bonanza lake la mwisho akiliwa huko koooote ndiyo anamalizia hapa.
Kuna couple hua mke anakuja hapa na mume anaenda bonanza la bondeni huko kila mmoja anaenda kulishughulikia hili ishu.
Katika kitu nimededuce ni kwamba watu wengi wanaocheza hili dude hua hawachezi ili wale ila wanaenjoy tu ile excitement ya kusubiria kuona kama wamepatia kitu ama la.
Eish nimemsahau na muha mmoja hua anakuja anaweka vyombo vyake chini anaingia arena.
Halafu guess what? Mimi ninayewapa hizo 200 hata sijui jinsi ya kulicheza.
Pengine itasaidia, maana hawa waChina wanachota mabilioni kila siku bure bure tu!Kama ni addiction basi Serikali iongeze kodi ya kutosha.
Ukiweka 200, 180 iwe kodi 20 iende kwenye kamari.
Ukiweka 200 ukashinda mara mbili unapata 40. Nayo ikatwe kodi ya faida asilimia 30%.
Kuna tetesi hizi kamari zinapunguza nguvu za kiume. Msizicheze.Pengine itasaidia, maana hawa waChina wanachota mabilioni kila siku bure bure tu!
Hiyo picha imepostiwa na mchangiaji, sio picha ya tukio.Mbona unamuingilia mwana kwenye maisha yake. Pia umepiga picha Bil ruhusa yake. Hilo ni Kosa.
Plus maisha Haya kila mtu Ana jinsi alivyoamua kuishi. Kuna mwingine anaridhika kutafuta msosi tu wa kila siku basi. Kuna mwingine lazima apate kiwanja ajenge.... Etc
Kuna mwingine akipata mshara wa 150000 tu mwezi huo huo anaoa.
Kuna mwingine anavyote lakini hataki kuoa.
Mwingine mitungi ndo raha yake.
Mwingine malaya.... Ndo alichochagua na maisha yake.
Mwingine padri lakini Ana watoto nje.
So ISHI MAISHA YAKO. MTAKUTANA KWA MUUMBA huko ndio mtashitakiana ikitokea mkakutana Nyumba moja na huyo uliyempiga PICHA
kweli kabisa unapo-bet ukaliwa lazima uume usinyaeeeKuna tetesi hizi kamari zinapunguza nguvu za kiume. Msizicheze.
Lazima tunyooshane, wewe leo tukikuta unafokolewa mtaro tukuache tu kisa ndio umechagua hivyo? Tusikuseme?Mbona unamuingilia mwana kwenye maisha yake. Pia umepiga picha Bil ruhusa yake. Hilo ni Kosa.
Plus maisha Haya kila mtu Ana jinsi alivyoamua kuishi. Kuna mwingine anaridhika kutafuta msosi tu wa kila siku basi. Kuna mwingine lazima apate kiwanja ajenge.... Etc
Kuna mwingine akipata mshara wa 150000 tu mwezi huo huo anaoa.
Kuna mwingine anavyote lakini hataki kuoa.
Mwingine mitungi ndo raha yake.
Mwingine malaya.... Ndo alichochagua na maisha yake.
Mwingine padri lakini Ana watoto nje.
So ISHI MAISHA YAKO. MTAKUTANA KWA MUUMBA huko ndio mtashitakiana ikitokea mkakutana Nyumba moja na huyo uliyempiga PICHA
Na ukiliwa mpaka ukafilisika kuna uwezekano usisimame kabisa. Kila unapoliwa ni dozi hiyo. Sasa naona vijana wanabugia dozi tu sijui wana mpango gani.kweli kabisa unapo-bet ukaliwa lazima uume usinyaeee
ngoja mchina aendelee kuwatengenezaNa ukiliwa mpaka ukafilisika kuna uwezekano usisimame kabisa. Kila unapoliwa ni dozi hiyo. Sasa naona vijana wanabugia dozi tu sijui wana mpango gani.
Chambo ni lazima, hiyo ipo kwenye kamari zote, hukumbuki ukizotumbukizamchina alinipa pesa hadi akili ikanikaa sawa View attachment 1758985