Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

Pr. J anafanya kazi yake ya muziki ambayo ni kama aliacha miaka 5 iliyopita sasa lazima atembee nyota wa wasanii wanaopendwa kwa sasa ili nae arudi kwenye reli.
Chama ambacho huwekwa madarakani na tume. Wangejua wana pendwa wasinge ng'ang'ania katiba hiyo ya chama kimoja
 
chadema digital inasemaje mkuu
Twaha__Mwaipaya_on_Instagram:_“Kumekucha_Chadema”%22_.jpg
 
Pr. J anafanya kazi yake ya muziki ambayo ni kama aliacha miaka 5 iliyopita sasa lazima atembee nyota wa wasanii wanaopendwa kwa sasa ili nae arudi kwenye reli.
Wewe ndo hujui kitu kabisa,nchi hii,muulize mtu mwenye akili timamu,ni nani msanii mkubwa nchi hii,asipotaja Prof Jay uje uchukue hela ya kula.
Ana heshima ya kipekee,achana hao wanatuimbia matusi na mapenzi kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom