Naona Kula Mgahawani ni nafuu kuliko kupika kwa mtu mmoja

Mke wangu kaenda kwao kujifungua,kabeba na watoto wakawaone ndugu zao upande wa mama yao,ni holiday season,napika kila siku na kazini naenda siyo kwamba nakwepa gharama la hasha kila nikila mghahawani huwa sipati radha ya chakula ninayoihitaji,najua kupika vizuri mama yangu alinifundisha since nikiwa darasa la tatu,lakini pia kusema gharama za kula gengeni zifanane na za kupika mwenyewe siyo kweli katika kupika mwenyewe huwezi kutumia elfu 60 kila siku Mimi nanunua nyanya na vitunguu vya wiki nzima kwa TSH 5000/=(nyanya 3500 na vitunguu vya 1500)
Mafuta lita tano utasahau kabisa,mchele kg 50,utasahau kabisa,gesi na gunia la mkaa utasahau kabisa hivyo vyote vitagharimu kama (130,000/=)kwa maisha nilipo.Ukiwa na hivyo vyote unaweza ukapitia mbogamboga za majani za mia tano ukala mlo wako safi kabisa.Naomba tu niishie hapo.
 
Mi napenda kupka mwenyew ata kama naishi peke yang shida sio gharama shida ni ladha
 
Hahahaaaa hongereni sana
Familia iliyostruggle pamoja Mara nyingi huwa na furaha sana

Nje ya mada;hivi electronics za mtumba zinapatikana wapi?
Kwa kiasi kikubwa kipind hicho ilkua Zanzibar directly,

Ila kwa sasa
wapo dealers wengi tu pale K'koo na Mwenge wanaouza Jumla na reja reja hizo bidhaa
 
Mimi kwangu balaa ni kuosha vyombo tena vikiwa na mafuta ndio shida kuu
 
Mkuu nilikuwa na mawazo kama yako ila nilimtembelea rafiki yangu ndo nikajifunza,kupika ni cheap kuliko kula nje huko
 
Back
Top Bottom