Naona Kula Mgahawani ni nafuu kuliko kupika kwa mtu mmoja

Kipindi naanza harakati za maisha nikiwa na wife wangu.

Nlkua naona ni nafuu sana kununua mgahawani chakula cha watu wawili kuliko kumpa ela wife akapike nyumbani.

Maana alkua anacomplicate vikorokoro kibao kwenye msosi mpaka bajeti unajikuta ishakua Mara mbili ya gharama za kula mgahawani.

Ukzingatia ndo Tunaanza MAISHA, kwa vibiashara vya Kubangaiza.

Yaan Hali yetu kimaisha ilkua ngumu sana HAIELEZEKI.

Kiukweli, ILKUA INANIKERA SANA

MAANA
Ilkua inanivurugia bajeti yangu ya matumiz ya siku,

Ukzingatia Kichwani nlkua nna Malengo makali sana Ya kukua kibiashara.

Ilkua inafika sometimes,
MPAKA NAAMUA KUMUWASHA MAKOFI, heshima iwepo

Yaani Nampa ela akaandae msosi tule, yeye Anazila kisa eti ela haitoshi

Pumbav sana.
 
Kipindi naanza harakati za maisha nikiwa na wife wangu.

Nlkua naona ni nafuu sana kununua mgahawani chakula cha watu wawili kuliko kumpa ela wife akapike nyumbani.

Maana alkua anacomplicate vikorokoro kibao kwenye msosi mpaka bajeti unajikuta ishakua Mara mbili ya gharama za kula mgahawani.

Kiukweli, ILKUA INANIKERA SANA

MAANA
Ilkua inanivurugia bajeti yangu ya matumiz ya siku,

Ukzingatia Kichwani nlkua nna Malengo makali sana Ya kukua kibiashara.

Ilkua inafika sometimes,
MPAKA NAMUWASHA MAKOFI,

Yaani Nampa ela akaandae msosi tule, yeye Anazila kisa eti ela haitoshi.
Ulikuwa haujajiandaa kukaa na mwanamke. Huwez kukaa na mtoto wa mtu halafu unamlisha chakula cha mama niitilie. That's against wisdom
 
Najua mkuu...unajua wanaume ni tofauti na wanawake. Mwanamke anaelewa labda ndani..vitu hivi vinakaribia kuisha....nini kinahitajika hasa kwenye maswala ya maakuli...lakini kwa mimi sometime na gues viungo vingine vitakua ndani...ko sinunui..kumbe vishaisha..ndo balaa linaanzia hapo
Hahah
 
Ulikuwa haujajiandaa kukaa na mwanamke. Huwez kukaa na mtoto wa mtu halafu unamlisha chakula cha mama niitilie. That's against wisdom
Ilkua ni kipindi cha Utafutaji mkuu.

MAISHA yetu yalikua magumu sana Kiukweli.

Nlkua na Malengo makali sana kukua kibiashara.

Na principle kubwa Iliyokua ina-run ndani ya Kichwa changu Muda wote,

Ilkua
"Punguza Garama za Matumizi yawe chini zaidi Kadri iwezekanavyo, Uweze kukuza Mtaji Wako"

Na Ndipo Ugomvi na wife zaidi ulipokua,

Anakwambia
"ili tupunguze Matumizi inabidi ununue kila kitu uweke ndani"

Sawa, Nanunua Mchele kg50,unga kg25, maharage kg 10, mkaa gunia.

Ila still,
Ikifika jion anaomba Kiasi kile kile cha ela ya chakula alichokua akichukua kipindi hamjanunua vitu vya Jumla ndani.

UNAKAA UNAONA NI UPUUZI, HAMNA ULOCHOSEVU.

NI BORA TU TULE WOTE TUENDELEE KULA MGAHAWANI TU.
 
Siku hizi kuna watu wanapika special menu

Home made food 🥘

Unaweza kubadili ladha huko
 
Ilkua ni kipindi cha Utafutaji mkuu.

MAISHA yetu yalikua magumu sana Kiukweli.

Nlkua na Malengo makali sana kukua kibiashara.

Na principle kubwa Iliyokua ina-run ndani ya Kichwa changu Muda wote,

Ilkua
"Punguza Garama za Matumizi yawe chini zaidi Kadri iwezekanavyo, Uweze kukuza Mtaji Wako"

Na Ndipo Ugomvi na wife zaidi ulipokua,

Anakwambia
"ili tupunguze Matumizi inabidi ununue kila kitu uweke ndani"

Sawa, Nanunua Mchele kg50,unga kg25, maharage kg 10, mkaa gunia.

Ila still,
Ikifika jion anaomba Kiasi kile kile cha ela ya chakula alichokua akichukua kipindi hamjanunua vitu vya Jumla ndani.

UNAKAA UNAONA NI UPUUZI, HAMNA ULOCHOSEVU.

NI BORA TU TULE WOTE TUENDELEE KULA MGAHAWANI TU.

Watu wawili mkila mgahawani kuanzia asubuhi
Si nafuu kujipikia ndani
 
Kazi yako ikikuruhusu kupika we pika tu ila wengine ni mtihani kutoka saa 2 asubuhi kurudi saa 4 usiku...kupika tunatamani ila mama ntilie wametupenda zaidi
 
Watu wawili mkila mgahawani kuanzia asubuhi
Si nafuu kujipikia ndani
Nakukatalia mkuu,

Maybe inategemea na Mwanamke uliekua nae.

Ila kwangu ilkua tofauti sana miaka hiyo kabla hatujawa na familia kubwa.

Mfano:
Tulikua tuliishi wawili TU, Mimi na wife.

Tulikua na biashara ya vyombo vya ndani, Electronics ndogo ndogo (used&mtumba) , phone accesories, vipodozi , Saa na vikorokocho vingine vingi TU.

Hatukua na fremu wala nini,
Mzigo wa biashara ilkua juu ya meza ya mbao zile zinazowekwa barabarani maeneo ya K'koo opposite INA ilipo sahv jengo la CHINA PLAZA ile njia ya kwenda buguruni.

Ikifika jioni,Mzigo tulikua tunapakia kwenye tololi LA mbao na kufunika mpaka asubuhi

Mda wote nlkua nakomaa pamoja na wife.

Mchana tunakula mgahawani chakula cha 1500 kila mtu,Jumla 3000 MCHANA UNAPITA

Ikifika SAA 10 mchana wife anaenda home kuandaa cha jion.

Cha ajabu,
Ukimpa ile ile elfu 3 , anadai haitoshi.

Wakati mchana huo huo,
Imetosha kabisa Wali Nyama+ndizi mbivu tumekula na kushiba kabisa.

AISEE,
UGOMVI WA BAJETI YA CHAKULA ULKUA NI KILA MARA
 
Hahahaaaa hongereni sana
Familia iliyostruggle pamoja Mara nyingi huwa na furaha sana

Nje ya mada;hivi electronics za mtumba zinapatikana wapi?
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom