Naona Kula Mghahawani ni Nafuu kuliko Kupika Kwa Mtu Mmoja

General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
13,129
Likes
17,505
Points
280
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
13,129 17,505 280
Wakuu,
Moja ya changamoto kubwa ninayokumbana nayo ni suala la kupika.

Baada ya Kula Mgahawani kwa muda mrefu, nikaona nianze mchakato wa kupika. Lakini nimegundua kuwa, Kupika chakula cha mtu mmoja ni Gharama kubwa kuliko kula mghahawani.

Mimi bajeti ya chakula cha mchana ni 3000 na jion hivyohivyo, hivyo jumla kuwa 6000 kwa siku.

Lkn nilipo anza kupika nikaona gharama ni zilezile mchanganuo ni kama ifuatavyo,

1. Mchele nusu 1000
2. Mboga za majani 500
3. Mafuta 500
4. Nyanya na vitunguu, hoho 1000
5. Nyama robo 1500
6. Nishati 500

Jumla inakua 5000

Najua wengine watasema vitu unanunua kwa jumla, lkn nimefanya hivyo na ukichukua hesabu zake ni kama hivyo tu.

Sasa hapo hujaweka usumbufu wa kupika, kuosha viombo, kumwagamwaga maji, na muda pia.
Pili kupika kunahitaji ufuatiliaji, mana nishaunguza sana tu.

Je nyie ambao ni mabachela mnaweza save vipi gharama kwa kupika na kuepuka kula mghahawani?

Labda mnaweza nishawishi tena nirudi jikoni mana nilipika wiki mbili nikaacha mpk vitu vikakaribia kuharibika ikabidi nivigawe tu.
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
5,683
Likes
9,178
Points
280
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
5,683 9,178 280
Kama hujui kupika lazima utaona mgahawani ni sawa lakini kama unajua kupika huwezi kutamani kula mgahawani, nazungumzia LADHA ya chakula.

Kuhusu gharama kama umeona mgahawani ni nafuu endelea nako tu.
 
bardizbah

bardizbah

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2017
Messages
839
Likes
768
Points
180
Age
21
bardizbah

bardizbah

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2017
839 768 180

Bachela nataka kuwa bachela sababu maisha ya kisela sometimes yananipa raha

Mkuu
Watu tunatumiaga hiyo 1000 kwa siku na tunadunda mtaani

Nunua mkate au maskonzi weka ndani kazi ni kuhakikisha chupa inachai muda wote
Maisha yanaenda mungu siku moja atafanya maisha yawe mepesi usijali mkuu
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
13,129
Likes
17,505
Points
280
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
13,129 17,505 280
Kama hujui kupika lazima utaona mgahawani ni sawa lakini kama unajua kupika huwezi kutamani kula mgahawani, nazungumzia LADHA ya chakula.

Kuhusu gharama kama umeona mgahawani ni nafuu endelea nako tu.
Kuna mighahawa wanapika vizuri sana...

Na tena wanaweza kukuzidi wewe
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
5,683
Likes
9,178
Points
280
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
5,683 9,178 280
Hii style ni wachache wanaweza afford....uchumi hauruhusu kumiliki fridge na hiyo microwave
Khaaa fridge na microwave ndio useme wengine hawawezi kuafford au labda useme nafasi maana wengi mageto yetu ni one room....
 
Forum statistics

Threads 1,250,900
Members 481,523
Posts 29,750,093