mangyi
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 718
- 867
Sasa wewe........umekosa kabisa jibu mpaka uje Jf. Aseeee umekuja kuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa ni maajabu ya mwaka.Ndiyo wanaume mliobakia sikuhizi ....je kama anataka kukwambia bebi peleka barua kwetu????
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama alitaka akwambie anakupenda? Wanaume wa siku hizi mnaogopa majukumu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo guu la beer ni la kwako best?Ndiyo wanaume mliobakia sikuhizi ....je kama anataka kukwambia bebi peleka barua kwetu????
Sent using Jamii Forums mobile app
apan mkuu huyu ndie aliekuwa na mpenz anaitwa chriss so wakat anajiunga jamii forum akatumia jina la bwana aka mbele ya Lake lakin cha ajabu chriss kamuacha so ni fulsa hiyo kakaBasi siku zote nilikuwa najua we mwanaume... dah nimepoteza bahati mimi wallah...
Duuh! Hilo guu la kuvunja chaga nimelielewa. Vp kuhusu mkia, huko nyuma nako umejaaliwa chura wa kunesa?
Flat screenDuuh! Hilo guu la kuvunja chaga nimelielewa. Vp kuhusu mkia, huko nyuma nako umejaaliwa chura wa kunesa?
Mwee! Hapo ndipo ninapokwama...
Asante. Ila usijali. Mkia utaota ukishajifungua watoto wawili watatu... Nazidi kukuombea uoteshwe mkia... Ili uzidi kupendeza...
AmenAsante. Ila usijali. Mkia utaota ukishajifungua watoto wawili watatu... Nazidi kukuombea uoteshwe mkia... Ili uzidi kupendeza...
Mtoa mada mie niko kwenye tasnia ya mapenzi miaka mingi sana. Hapo unapigwa mzinga amini usiamini na kama unaweza usimjibu mpk utakapokaa sana kiuchumi. Ukiona demu wa bongo anajibebisha ujue shida zimemkalia kooni