Naona kila dalili ya kupigwa mzinga, nijibu vipi kwenye hii conversation?

Kiukweli sio kuogopa majukumu, mwishi wa siku atatoa tu, tatizo mnatabirika nyie.

Yani hicho ni kizinga bila chenga... Wanawake wa sikuizi huwa hawasemagi mambo mazuri amini.

Ukiona bebi nikuambie kitu, kinachofwata hapo ni kutangaza shida. Bahati nzuri wote mko hivi sijui ni nani aliye wafundishaga.

Wanawake wangekua na lugha tamu pia kwenye mambo mengine mngekuwa mnatushika sana mfano hapo ukimwambia niambie, akakuambia labda leo nimekuandalia ule msosi wako unaoupendaga.. Uwahi kuja kabla akijapoa...

Huyo ni waifu matilio unachumbia mapema sana.

Je kama alitaka akwambie anakupenda? Wanaume wa siku hizi mnaogopa majukumu jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huo muda wa kumwambia sijui nikwambie kitu sina!
Naenda direct kwenye jambo la msingi! Kama hawezi aseme siwezi!
 
Mtoa mada mie niko kwenye tasnia ya mapenzi miaka mingi sana. Hapo unapigwa mzinga amini usiamini na kama unaweza usimjibu mpk utakapokaa sana kiuchumi. Ukiona demu wa bongo anajibebisha ujue shida zimemkalia kooni
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom