kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,319
- 4,089
Wewe mwanaume wa Dar kwanini unatongoza wanawake wa mikoani huko Mwanza? Ina maana hujui kusoma hapo alichokiandika anataka nini....,?
Au bebi nna most mimbaNdiyo wanaume mliobakia sikuhizi ....je kama anataka kukwambia bebi peleka barua kwetu????
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeh ndio
ukishaanza kuona txt ina pambwa na majina mazuri ujue hicho ni kizinga tuNdiyo wanaume mliobakia sikuhizi ....je kama anataka kukwambia bebi peleka barua kwetu????
Sent using Jamii Forums mobile app
ukishaanza kuona txt ina pambwa na majina mazuri ujue hicho ni kizinga tu
Kwa hiyo nani akapigwe kizinga???ukishaanza kuona txt ina pambwa na majina mazuri ujue hicho ni kizinga tu
I like, the way umemshahuriAcha uoga wewe. Kwani kila anayekuuliza "Nikwambie kitu lazima akupige kizinga?
Halafu hata ikiwa hivyo nawe huns si unamwambia tu.
Ona sasa umekuja kumaliza mb zako na zetu bila sababu ya maana
Vichefuchefu tu.Ndiyo wanaume mliobakia sikuhizi ....je kama anataka kukwambia bebi peleka barua kwetu????
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo...... Ngoja niishie hapa tuEeeeh ndio
.....asubiri aone ataambiwa nini hata akiombwa pesa atoe .....mwanamke amlale yeye pesa apewe na jirani asituchoshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizinga wengi wenu mmezidi halafu format yenu ni moja ndio maana ni rahisi kuielewa sio kuogopaJe kama alitaka akwambie anakupenda? Wanaume wa siku hizi mnaogopa majukumu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada simamia msimamo wako,ukijikanyaga tuu,usijekuja hapa unajilaum,hko ni kzinga OG...
We mzigua usiimwingze chaka mleta uzi akaja Kulia hapa maana atapigwa kizinga tuu,..hyo ni dalil ya kizinga OGJe kama alitaka akwambie anakupenda? Wanaume wa siku hizi mnaogopa majukumu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama alitaka akwambie anakupenda? Wanaume wa siku hizi mnaogopa majukumu jamani.
Sent using Jamii Forums mobile app